Je, Ni sahihi ndege hizi kupewa jina la 'hapa kazi tu'?

Kauli mbiu ya "Hapa Kazi Tuu" ilikuwa ni slogan ya uchaguzi wakati wa uchaguzi kama ilivyo kwa ilani ya uchaguzi ya CCM, baada ya CCM kushinda, slogan hiyo ina change hands na kuwa ni kauli mbiu ya taifa na ilani ya CCM ndio ilani ya nchi, hivyo they are right, Ukawa wakichukua nchi 2020, nao ruksa kuiandika "People's Power!".
Pasco
 
Prof Mbarawa Mnyaa akili zake zoote za Uprofesa wake zimeishia kwenye slogan ya kitoto hivyo? Kweli ukiwa ndani ccm unaziacha akili na utu wake nje ya mlango wa chama! Wakitoswa huwa akili ndio inarudi!! Sham Prof Mbarawa
 
Slogan ya kitoto?!?!? Wakati ndio inafanya kazi kwa Sasa! Hebu axcheni ushamba msipozipanda safi sana mko wangapi vile?!?!?! Sisi( wananchi) tutaenjoy na bei ya dezo!
 
Back
Top Bottom