Je ni dalili za kushuka kwa utendaji jeshi la police?

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Katika hali ya uhalifu inayotokea kwa hivi sasa na hususani za ujambazi na agali za vyombo vyetu vya usafiri, je tunaweza kusema ni kushindwa kazi kwa jeshi letu la poilisi au wahalifu hutumia mbinu za kisasa zaidi? Mfano wa matukio ya hivi karibuni

• Tukio la ujambazi la lililotokea taasisi ya elimu ambambo computer zaidi ya 70 na magari ya taasisi hiyo viliibiwa.
• Tukio la ujambazi NMB Temeke ambampo watu kadhaa walijeruhiwa na aksari wa ulizi na wa jeshi la polisi walipoteza maisha
• Tukio la ujambazi Africa sana petrol station
• Tukio la ujambazi kwa sadala Hai mkoani Kilimanjaro ambapo askari mmoja alichomwa mkuki akidhaniwa ni jambazi.
• Ajali iliyohusisha gari la JWTZ na FFU
• Ajali ya Tanga hivi majuzi
• Ajali iliyotokea karibu na Singida
• Mioto ya TBL, Gase kigamboni DSM, Meli ya kwenda zanziba
• N.K

Je hasa haya matukio ya ujambazi na ajali za barabarani, ni kushuka kwa ufanisi wa jeshi la police au wahalifu wamegundua mbinu mpya ya uhalifu?

Tafakari, Toa Maoni yako na Uchukue hatua
 
Inavyoelekea hasa katika matukio ya ujambazi ni kwamba majambazi wako more advanced katika mbinu za kujambazi! Katika tukio la NMB kati ya siliha zilizokamatwa kuna moja ambayo ilinishangaza sana! Inafanana kabisa na ile ya filamu za RAMBO
 
Ni ni lini Jeshi hili lilikuwa juu ya kiwango hicho liliopo hadi useme kiwango kimeshuka ?
 
Back
Top Bottom