Je, Ndoa ya kikristo yaweza kuvunjika?

matwin

Senior Member
Jan 7, 2016
124
133
Habari zenu wana JF,

Ni vitu vipi vinavyoweza kupelekea ndoa ya kikristo kuvunjika?

Je kutofautiana na wakwe pamoja na mawifi kunaweza kusababisha?
 
Ndoa haivunjiki bali inavunjwa. Ndoa yaweza kuvunjwa wakati wowote,ili mradi kuepusha tu maafa zaidi. Mfano wanandoa kuwindana ili wauane mimi naona ni sababu tosha ndoa kuvunjwa iwe ya kidini au kimila.
wakwe na mawifi hawana nafasi katika ndoa ndoa ni ya wawili yaani mume na mke.
 
Wakwe na mawifi hawavunji ndoa ya kikiristo.Ndoa ya Kikristo inavunjwa na vitu viwili tu,Kifo na Zinaa.Tofauti na hapo hakuna tena.Mnaweza mkaachana, hata Padre au mchungaji wakakubaliana na nyie lakini Biblia inasema yeyote atakaye muoa huyo mwanamke atakuwa anazini.
 
Ndoa haivunjiki bali inavunjwa. Ndoa yaweza kuvunjwa wakati wowote,ili mradi kuepusha tu maafa zaidi. Mfano wanandoa kuwindana ili wauane mimi naona ni sababu tosha ndoa kuvunjwa iwe ya kidini au kimila.
wakwe na mawifi hawana nafasi katika ndoa ndoa ni ya wawili yaani mume na mke.
Ikiwa unakosa hata raha ya kuishi kwa ajili yao ufanye nin.
 
Wakwe na mawifi hawavunji ndoa ya kikiristo.Ndoa ya Kikristo inavunjwa na vitu viwili tu,Kifo na Zinaa.Tofauti na hapo hakuna tena.Mnaweza mkaacha na hata Padre au mchungaji wakakubaliana na nyie lakini Biblia inasema yeyote atakaye muoa huyo mwanamke atakuwa anazini.
Hilo ni sawa kabisa.sasa je ni sawa kuamua kwenda kuishi mwenyewe ili kuacha familia za watu ziishi kwa amani japo mume atabaki kuwa mume
 
Kwanza ndoa kuvunjika sio mpango wa MUNGU (kwa wa kristo)
Kwa hiyo sahau ndoa kuvunjika.

Mkwe au wifi sio sehemu ya ndoa yako ni sehemu ya familia kwenye ndoa yako.
Je wanapojaribu kuingilia kila kitu kiasi kwamba hakuna jema kwao unahisi nin kifanyike
 
Asante sana ukawa2,nimerud maana nlikuahid naomba ukasome MATHAYO 19:9 nakuendelea. Pia 1WAKORITHO 7:39 na MWANZO 24:58.km hajazin mawif,mamamkwe,majiran,wapitanjia wanatoka wap dada km unapendwa? Mume asimame kwenye WAEFESO 5:25 na ww usimame hapohapo ila 5:22.ss utakuwa umenielewa.
Asante saana na MUNGU akubariki
 
Back
Top Bottom