Je, naweza kuhamisha mkopo kutoka Benki ya ABC kwenda benki zingine kubwa?

Usiwe hoi niliulizia mkopo wa 8 million wakasema narudisha 24 millioni
Shida siyo kiasi gani utarejesha. Angalia muda gani utatumia kurejesha. Wafanya biashara wote wakubwa wanakopa. Mchawi hapo ni muda wa marejesho unatakiwa kuwa mdogo.usirejeshe kwa miaka mingi
 
Shida siyo kiasi gani utarejesha. Angalia muda gani utatumia kurejesha. Wafanya biashara wote wakubwa wanakopa. Mchawi hapo ni muda wa marejesho unatakiwa kuwa mdogo.usirejeshe kwa miaka mingi
Kweli, mchawi wa mkopo ni muda wa mkopo na malengo
 
Wasalaam

Jamani nilikwama nikajiingiza kwao Banc ABC kukopa nilichukua 3 million ila ilitakiwa nirejeshe 8 million sasa naona bora hili dwni nilipeleke CRDB bank.

Sasa je kuna mtu anafahamu utaratibu wa kuhamisha deni tafadhari wakati nikiwa na lengo la kulipa hapo baadae.?
Umekopa ml3 alafu warudisha ml8 how
 
Back
Top Bottom