Je,nani wanastahili mikopo

danel kasozi

Member
Nov 1, 2015
19
0
Naomba kujulishwa kama kuna wanachuo walio hitimu kidato cha 6 miaka 3 iliyopita waliopata mikopo?maana mimi nilimtuma mtu akaambiwa kuwa waliohitimu kidato cha 6,miaka 3 ya nyuma hawakupewa mkopo.sasa sijui lina ukweli kiasi gani.
 
Mwaka 2012 kurudi nyuma "not eligible" ila mwaka 2013+ ni "eligible" haya nimeyasikia kwa masikio yangu kwenye ofisi ya HESLB pale Mwenge DSM.
 
Back
Top Bottom