political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 291
- 707
Dar nzima nimetafuta fundi wa AC ya gari IST nimechemka,Kila nayempata anagusa gusa tu naomba mwenye fundi mzuri aniconnect aiseee
Makofia IlalaDar nzima nimetafuta fundi wa AC ya gari IST nimechemka,Kila nayempata anagusa gusa tu naomba mwenye fundi mzuri aniconnect aiseee
Vipi umeshampta mkuu huyo fundi acDar nzima nimetafuta fundi wa AC ya gari IST nimechemka,Kila nayempata anagusa gusa tu naomba mwenye fundi mzuri aniconnect aiseee
Makofia Ilala
huyu mimi alishindwa kutengeneza AC ya Vitz old model na watu walimsifia saana na kunihakikishia hashindwi ila alichemkaMakofia Ilala
Ulitengeneza wapi?huyu mimi alishindwa kutengeneza AC ya Vitz old model na watu walimsifia saana na kunihakikishia hashindwi ila alichemka
Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
Makofia ilikuwa zamani. Siku hizi jina kubwa ameweka manyoka wanamharibia kazi .Shark naomba contact ya fundi ac...
Nimeona mahala umesema makofia wa Ilala jina kubwa na bei kubwa ila kuna mafundi wengi wazuri mitaani.
Taarifa nilizozipata makofia amefariki mwaka jana.Makofia ilikuwa zamani. Siku hizi jina kubwa ameweka manyoka wanamharibia kazi .
Ac inahitaji fundi mfuatiliaji wa freon leakages, maana ndio tatizo kubwa kwenye Ac system. Ukimpata mfuatiliaji tatizo linaisha
Ila kuna gas nimeona kwa chrisfix zinaziba sehemu zote zinazovujaMakofia ilikuwa zamani. Siku hizi jina kubwa ameweka manyoka wanamharibia kazi .
Ac inahitaji fundi mfuatiliaji wa freon leakages, maana ndio tatizo kubwa kwenye Ac system. Ukimpata mfuatiliaji tatizo linaisha
Sikujua kama amefariki , lakini niltengeneza kama miaka 4 nyuma ye akiwa hai tayari aliachia vijana , na huduma Ilikuwa mbovu ajabuTaarifa nilizozipata makofia amefariki mwaka jana.
Kuna vijana tu hapo....
Kuna sehemu ndo nipo hapa anaangalia...
Ngoja nione