Je, mwanzo wa mwisho wa Marekani umewadia?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,720
Historia inaonyesha kuwa madola koloni yalipokaribia kudondoka, yaliingia vitani. Kadhalika Marekani iko kwenye kadhia hii.

Imekuwa ikisaidia vita Ukraine na sasa Mashariki ya Kati. Inamwaga mapesa na silaha ikidhani itashinda. Je, huu siyo mwanzo wa mwisho wa Marekani?
 
Screenshot_20230406-232527.png
 
Historia inaonyesha kuwa madola koloni yalipokaribia kudondoka, yaliingia vitani. Kadhalika Marekani iko kwenye kadhia hii.

Imekuwa ikisaidia vita Ukraine na sasa Mashariki ya Kati. Inamwaga mapesa na silaha ikidhani itashinda. Je, huu siyo mwanzo wa mwisho wa Marekani?
Ni lini Marekani haijawahi kuingia vitani? Ni nchi ipi ambayo itakuwa na nguvu alafu isiingie vitani?
Ukishakuwa na elimu, Teknolojia na pesa tayari utaitawala Dunia make vyote vinatolewa na Mungu.

Marekani leo ikisema kuwa ichangiwe na Matajiri utashangaa Akounti itakavyojaa mapesa ndani ya dakika chache kwani matajiri wanaimani kuwa anaewalindia utajiri pamoja na maisha ya biashara zao hapa Duniani ni nchi ya Marekani pekee.
 
Sawa mmarekani
 
Historia inaonyesha kuwa madola koloni yalipokaribia kudondoka, yaliingia vitani. Kadhalika Marekani iko kwenye kadhia hii.

Imekuwa ikisaidia vita Ukraine na sasa Mashariki ya Kati. Inamwaga mapesa na silaha ikidhani itashinda. Je, huu siyo mwanzo wa mwisho wa Marekani?

marekani kuanguka sio leo. Jifariji
 
Najua mtabisha, ila Unabii (wa Biblia) haujawahi kudanganya; Marekani itabakia dola lenye nguvu kuliko zote. Kiama kitafika kitakuta USA imetamalaki na waabudu Shetani wenzake.
 
Yeah
Siku yaja ambapo Marekani na Mtoto wake Israel watapewa kipigo Cha mbwa Koko kutoka nchi nyingi za kiarabu. Mwisho wa ubabe wa America

Naomba uiandike kwenye notebook yako,[/i]
 
Naam itapendeza maana hawa wanajifanya wababe huku wakitutesa kisera na kujitawalia dunia yetu
 
Back
Top Bottom