- Thread starter
- #41
ok,nimeelewa samahani.hakwaziki mtu hapo.....
Tall watoto wadogo huwa ni weupe weupe hata wazazi wakiwa wausi kama ukuta wa jiko, sema baadae rangi hubadilika
fyi: Mimi si mweusi kivile sema tu labda hapo picha imenitoa kiivo, hata bala sio blackie, kwa hiyo hakuna aliyeiba wala kuibiwa!!!!