Walishamalizana kitambo ni utekelezaji tu mda ukifikaKwa maana hiyo hukumu haitatenguliwa tena?
maandiko hayasemi kutubu kwake, sidhani kama atasamehewa kwa uasi alioufanya pamoja uharibifu kwa mwanadamuIkitokea akatubu je? Bado hatasamehewa?
Lakini maandiko yanasema shetani alikua ni malaika tu, Kwa maana hiyo alikua chini ya Mungu
Sio Shahid wa jehova wewe kweli!!?Shetani ni imagery created in our mind kuhalalisha matendo yetu mabaya yatokanayo na utashi wetu, hamna shetani wa ziwa la moto wala ziwa la baridi.
MUNGU yeye aliye mwanzo na mwisho...mwenye ufahamu wote....mwenye ujuzi wote...na mwenye nguvu zote...alimpa Lucifer miaka mingi ya kutubu lakini akufanya ivo. Lucifer kwa kukataa mwito wa toba aliopewa miaka elfu nying hatimaye alivuka mipaka ya rehema zake na sasa anasubiria hukumu......Habari wana JF?
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kwenye maandiko ya dini mbalimbali tunaona Mungu anahamasisha kupendana na kusamehe.
Tunatambua kwamba uadui kati ya Mungu na shetani ulitokana na Shetani (Malaika) kumuasi Mungu.
Je, ikitokea siku shetani akakubali kukiri na kutubu makosa yake na kumuomba msamaha Mungu na kurudi kumsujudia, Je, Mungu atamsamehe shetani?
Kama ni hapana, ni kwanini Mungu hatamsamehe?
kitabu cha henoko..😆😁😅🤣Haitakaa itokee..maana kwenye kitabu cha henoko imeandikwa kabisa...shetani atakua wa kwanza kwenye hukumu....
Lakini malaika walioasi...wale walioshuka na semzaya wamefungwa kwenye giza totoro wakisubiri hukumu...
Malaika akikosa...hasamehewi
Binadamu akikosa akiomba anasamehewa...na hapo ndio chuki kati yetu na malaika hua inaanza
Wanaona tunapendelewa...
Matendo ya Mungu si ya mwanadamu kwakuwa Mungu ni roho si mwili na mbingu sio yabisiHabari wana JF?
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kwenye maandiko ya dini mbalimbali tunaona Mungu anahamasisha kupendana na kusamehe.
Tunatambua kwamba uadui kati ya Mungu na shetani ulitokana na Shetani (Malaika) kumuasi Mungu.
Je, ikitokea siku shetani akakubali kukiri na kutubu makosa yake na kumuomba msamaha Mungu na kurudi kumsujudia, Je, Mungu atamsamehe shetani?
Kama ni hapana, ni kwanini Mungu hatamsamehe?
Wakati Mungu anamuumba huyo kiumbe wake hakujua tarehe fulani ataasi?Kosa la uasi
Bila shaka ni ile hadithi imuhusuyo Mungu mwenye uwezo wote ujuzi wote na upendo wote ambae anaishi mbinguni.Habari wana JF?
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kwenye maandiko ya dini mbalimbali tunaona Mungu anahamasisha kupendana na kusamehe.
Tunatambua kwamba uadui kati ya Mungu na shetani ulitokana na Shetani (Malaika) kumuasi Mungu.
Je, ikitokea siku shetani akakubali kukiri na kutubu makosa yake na kumuomba msamaha Mungu na kurudi kumsujudia, Je, Mungu atamsamehe shetani?
Kama ni hapana, ni kwanini Mungu hatamsamehe?
Yes, indeedShetani ni imagery created in our mind kuhalalisha matendo yetu mabaya yatokanayo na utashi wetu, hamna shetani wa ziwa la moto wala ziwa la baridi.
Sifa moja wapo ya creator anaouwezo wa kuedit alivyovitengeneza.MUNGU yeye aliye mwanzo na mwisho...mwenye ufahamu wote....mwenye ujuzi wote...na mwenye nguvu zote...alimpa Lucifer miaka mingi ya kutubu lakini akufanya ivo. Lucifer kwa kukataa mwito wa toba aliopewa miaka elfu nying hatimaye alivuka mipaka ya rehema zake na sasa anasubiria hukumu......
Mungu wa kweli ni yupi!?Limebakia sharti moja. Binadamu wote dunia nzima, leo hii tukimtambua na kumkubali Mungu wa kweli na tukamwombea shetani msahamaha, atasamehewa siku hiyo hiyo.
Yes na nmeuliza kitu kama hiki, kumbe umeniwahi bro.Wakati Mungu anamuumba huyo kiumbe wake hakujua tarehe fulani ataasi?
Kama hakujua basi sio mjuzi wa yote... Na kama alijua kwanini asingemboresha ili asiasi?
Kitabu Cha henyoko ndo kitabu gan hiko?Haitakaa itokee..maana kwenye kitabu cha henoko imeandikwa kabisa...shetani atakua wa kwanza kwenye hukumu....
Lakini malaika walioasi...wale walioshuka na semzaya wamefungwa kwenye giza totoro wakisubiri hukumu...
Malaika akikosa...hasamehewi
Binadamu akikosa akiomba anasamehewa...na hapo ndio chuki kati yetu na malaika hua inaanza
Wanaona tunapendelewa...
Allah subhana watalahhMungu wa kweli ni yupi!?