Shetani kama Mungu?

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
Na DaVinci XV

135EB261-346E-42C1-99B3-0607E1D830BF.jpeg

Isaya : 14 : 12 -15

12- Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!

13 - Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.

14 - Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye juu.

15 - Lakini utashushwa mpaka kuzimu; Mpaka pande za mwisho za shimo.

Nlianza kumuamini Mungu wakati ule ningali kinda nkifundishwa Nguzo za Imaani na Babu yangu pale Madrasa, Jang'ombe Zanzibar.

Hata wakati wa Ukuaji wangu niliendelea kumuamini huyu Mungu wangu nliyefundishwa kumtumikia yeye tu.

CA037D28-FB11-46F6-AC03-F549B262FC4E.jpeg

Wakati nipo Chuo, huko nako Profesa wangu Daktari na mtaalamu wa Macho alipata kunieleza Mfumo mzima wa Jicho, Ufanyaji kazi, Matekeo na Faida zake kuhusu jicho halafu akanielekeza namna Utengezaji wa Camera ulivyofuatana na Mfumo wa Jicho kwa Ujumla.

B1073DA6-4C9F-439A-9943-61587061A020.png

Nami kwa kwa nyakati tofauti (Darasani na kwingineko) nlipata kuusoma mfumo wa Jicho, kwanzia Mfumo wa Lens kwenye Jicho ufanyaji kazi wa Cornea Light Rays zinavyokuwa Converging hapo, na Mwishowe Formation ya Taswira kwenye Retina, Sensory informations zinasafirishwa na Optic nerve hadi kwenye Ubongo kwenda kufasiriwa ili mtu aweze kunga'mua katazama nini hivyo pekee vilitosha mimi kupiga mstaari ya kwamba kuna Msanifu mkubwa sana wa Mambo kama hayo kwenye mwili wa Mwanadamu Ambaye ni M/Mungu haiwezekani vitu hivi vitokee tu bila kuwa na Orgenizer na Mastermind wa Mpango mkakati wote.

Halafu Kwa Mara ya kwanza naingia Labour ward nikatazana mtiririko mzima wa mechanism ya normal Labour, halafu nikarefer na makuzi Ya mtoto hatua za ukuaji tumboni na Trimester zote za Mama mjamzito, na mabadiliko tofauti ya Kijusi tumboni kulingana Na Trimester hizo.

85A9EF71-C106-4A77-AD0A-0428DF07AA2F.jpeg

Nikatazama movement zote za mtoto kutoka kwenye uterus(Mji wa Mimba) hadi kuzaliwa, namna mtoto anavyojikunja na kufanya rotation mbalimbali kutafuta mlango wa mama Ili kutoka (kuzaliwa), mfumo wa ulishaji mtoto tumboni kutoka kwa mama kuja kwa mtoto mbadilishano wa Hewa (Upumuaji) na utaoji taka mwili kupitia Umbirical Cord na Placenta kwa Ujumla vinatosha kabisa kukuaminisha wewe kwamba kuna mtalaam wa vitu alievipangilia mbali.

Pengine hivyo vyote vingekupa shida lakini somo la Human Embrology tu pekee lingetosha kukutoa sehemu moja kukupa mwangaza kwenda sehemu Nyingine hapo sijagusia kabisa kuhusu, Mambo mengine kama Geographia ya Ulimwengu Mfumo wa Gallaxy hadi kwenye Solar system kwa Ujamla.
Acha hivyo ambavyo pengine hujawahi viona Jeographia ya Dunia tu Miamba,bahari na Mazingira yetu pekee yalitosha kukuaminisha kuwa kuna Injinia na Mtengenezaji wa hivi vitu katika mpangilio wake.

772A52D1-DE0A-4901-A508-9C437AE93055.jpeg

Ni juzi tu nmeshuhudia kote ulimwenguni habari iliyoenea kwa kasi sana kuhusu kupotea kwa Submarine iliyokwenda kutalii Mabaki ya Meli maarufu iliyozama zaidi ya Miaka 100 iliyopita meli ya Titanic.

41097EEA-BD12-4C29-8B6C-B66A52DABB47.jpeg

Na ndio wakati huu huu nikapata wasaa wa kukazia na Kusoma maajabu mengine mengi ya Bahari ikiwepo sehemu yenye kina kirefu zaidi ijulikanayo kama Mariana Trench na nyinginezo ambako hata mwanga wa Jua haujawahi kufika nlijifunza mengi sana ambayo yanahitaji uzi wake bila shaka na Conclusion inabaki pale pale M/Mungu aliyesanifu haya maumbo yote basi ni Mkuu sana.

31F61211-7FC5-432A-999C-F24584EEEEFE.jpeg

Matukio ni Mengi sana yaliyofanya niamini na kunithibitishia kuna Msanifu na Mtaalamu wa kuyapangilia hayo yote na sio theory tu kama ilivyo kw kina Charles Darwin na Russel wallace na Natural Selection zao.

89293DDF-962B-4AFA-A9F1-61B4DF3F5C9A.jpeg

SHETANI KAMA MUNGU?
Juzi juzi tulitazama karibu dunia nzima picha zilizozagaa za Tajiri namba Mbili duniani kwasasa Elon Musk na Mmliki wa Makampuni makubwa Duniani Yanayojishughulisha na Vitu tofauti tofauti ikiwemo SpaceX na Tesla.

749069D8-F113-4235-8800-1085C9EC38DD.jpeg

Picha hizi zilimuonesha mwamba huyu akiwa katika pozi Za kimahaba na Ujio wa Hizi robotic Humanoids ambazo zitawawezesha watu kufanya mapenzi na Robot. Huku ikiwacost gharama kwa yoyote atakayehitaji kufanya hivyo.

Mapokeo ya watu kote ulimwenguni yalikuwa ni kwa namna tofauti, wengine wakipongeza wengine wakipinga , Wako waliodai sasa usumbufu na Maringo wanayoletewa na hawa dada zetu yatapungua ili kupunguza kadhia tunazokumbana nazo ili kupata kutuliza haja zetu. Hivyo hii ingeleta nafuu kujipatia roboti wako umchaji ujiridhishe mwenyewe na nafsi yako ukiwa nae.

Kiuhalisia M/Mungu kwa waaminio mungu Mfumo huu unakwenda tofauti kabisa na Mfumo aliouweka M/Mungu kikawaida.

Maandiko mengi yanaelezea hili hakuna asiyekumbuka "Zaeni Mkaongezeke". Nina uhakika hizi Humanoid bado hazina uwezo kama wa Mwanamke wa Kawaida wa Kuzalisha ovary ambazo zinaweza kuwa Fertilisezed na Mbegu za kiume achilia mbali kuhifadhi mtoto hata kwa miezi kadhaa kwenye Uterus.

47069454-D1E8-4D36-8950-F6996F240017.jpeg

Na jibu la hapo ni Mwenyezimungu pekee ndiye aliyeweza kutengeneza mifumo yake ya namna hiyo. Mara kadhaa wanasayansi wamejaribu kufanya majaribio ya namna tofauti tofauti ikiwemo watoto wa Test Tube. Lakini bado haikufikia namna M/Mungu alivyopangilia mambo yake kwa namna alivyotaka yeye Yawe.

50CB4B7F-B0FD-4E94-A045-6F37C87C548F.jpeg

Kikawaida pongezi na Akili nyingi zitasifiwa kwa Muundaji wa Robotic lakini kanuni ya Kimazingira inakwenda hivi ? Na je M/Mungu yupo radhi wanaadamu tuoane na Roboti?

SHETANI KAMA MUNGU?

Naam, nikurushe hadi kule kwa Lut na Watu wake kwenye Michezo ya Sodoma, Wanaume kuingilia wanaume wenzao na Maandiko yanatuhabarisha kabisa M\ Mungu alipata Ghadhabu na kutuma malaika wake kilichofata ni kilio, Machozi na Damu.

047E67C5-A4EA-4848-B899-D29CFD1CB1AE.jpeg

Maandiko na historia kuhusu habari hii ziko tele kote duniani haina haja ya kuelezeana hapa.

Hivi ni juzi tu pia kulikuwa na sherehe za kuadhimisha maswala ya Ushoga duniani huku haki za watu wanaojihusisha na hayo ikiwa ni kipaombele.

33CE1355-146C-41AA-B086-D1C3C1DBD1C6.jpeg

Ukitazama hivi sasa, ajenda kubwa sana ni Swala la Ushoga karibu mataifa makubwa yote yansapoti swala zima la Ushoga. Kupitia Ajenda tofauti tofauti wasanii, watu maarufu na kila namna inayowezekana ili kupenyeza uchafu huu.

Tumeshuhudia video tofauti tofauti za wasanii Wakipenyeza ajenda hio ya Ushoga na Hata Movie tofauti tofauti ikiwemo movie maarufu ya Money Heist na nyinginezo.

CE10AD06-A56D-4B2F-A97C-09F45C44B1E8.jpeg

Mfumo na Kununi ya Mwenyezimungu haimlazimishi au haimtaki mwanadamu kufanya Ufedhuli huu upuuzi huu na hata kikawaida huwezi kukuta wanyama wamepandana wenyewe kwa wenyewe jinsia moja.

Hizi Ajenda ambazo ukitazama kwa Undani ni matokeo ya Makundi ya Siri, KuOrganize mfumo ambao kikawaida kabisa shetani ndiye kiongozi wa Makundi haya na alishaahidi kuwa atakwenda tofauti kabisa na vile atakavyo Mungu, Na kama uonavyo vita hii ilianza zamani na Jamii ya Sodoma na Gomora ilikuwa mhanga mkubwa kabisa wa kadhia hiyo.
4FE51177-5477-40E2-80C2-F8046A75CCA8.jpeg

Lakini hivi sasa imekuwa kawaida kabisa, na hii ajenda inaenezwa karibu dunia nzima ukitazama hata nyimbo za ndani tu hapa imekuwa kawaida sana Kusikia maneno kama Kwa Mpalange ambayo tunajua Fika haiitaji hata Elimu ya Darasa la Pili kujua kinachomaanishwa.

Kusema kwamba target ya Shetani katika hili inafanikiwa kwa asilimia kadhaa kama Alivyoahidi.

SHETANI KAMA MUNGU?

Dunia tunayoishi sasa ni ile ya wengi katika watu wa Mungu waliosema ni dunia ya nyakati za mwisho.
Dunia haiitaji kujiuliza mara mbili mbili kama Shetani ndie kaishikilia katika nyanja Tofauti
Uchumi , Siasa, Biashara, Mawasiliano,Usafirishaji na kila Mradi pia.

SHETANI KAMA MUNGU WA DUNIA hivi sasa.

Wengi katika waumini hawa huwa hawashtuki kwasababu mengi yametabiriwa tayari.

Mfumo huu unamtaka mwanadamu apate mafanikio ya Haraka sana hapa duniani kwa Kufatisha njia isiyopendeza pengine kutumikia viumbe ambavyo M/Mungu tangu mwanzo wa dahri alipinga kabisa asiabudiwe mwingine tofauti na yeye hiyo ni Shirki.

Tumepata kudurusu Gharika la Nuhu lilitokea baada ya kuasi na Uasi ulikuwa chini ya Shetani , Mwenyezimungu alichotaka kiende atakavyo imefikia hivi sasa Wanaadamu wanaabudu Kitu ambacho kakitengeneza mwanadamu mwenyewe.

India ni mfano mzuri na nadhani ndio jamii yenye dini na Imaani nyingi kwa sasa dunian.
6EB48B44-795D-4700-B548-C8DB35E640DB.jpeg

Ukirejelea katika historia kwenye Dini ya Kiislam washirikina Wa zama za Nabii Ibrahim walitaka kumwangamiza Ibrahim kwakuwa tu aliyavunja Masanamu ambayo Baba yake Ibrahim alikuwa akiyatengeneza na kuwauzia Mabwana wa Mji ule dahri nyingi zilizopita.

43F10195-8642-4651-A60E-BD4A752E13A4.jpeg

Mfumo huu umekuwa endelevu Shetani anatembea nao kwa Kadri anavyoweza ili tu afanikishe ahadi yake aliyoihadi tangu siku aliyomkosea Mwenyezimungu.

Lakini kama ilivyo Imani ya wote waaminio Mungu.
Kwamba ipo siku itakuja nusra ya M/Mungu na Ushindi ili mambo yaende kama yalivyoandikwa na Mwenye dunia yake.

(QUR'AN 110: 1)

Pindi Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi.

Na DaVinci XV

Na DaVinci XV

View attachment 2672952

Isaya : 14 : 12 -15

12- Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!

13 - Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.

14 - Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye juu.

15 - Lakini utashushwa mpaka kuzimu; Mpaka pande za mwisho za shimo.

Nlianza kumuamini Mungu wakati ule ningali kinda nkifundishwa Nguzo za Imaani na Babu yangu pale Madrasa, Jang'ombe Zanzibar.

Hata wakati wa Ukuaji wangu niliendelea kumuamini huyu Mungu wangu nliyefundishwa kumtumikia yeye tu.

View attachment 2672951

Wakati nipo Chuo, huko nako Profesa wangu Daktari na mtaalamu wa Macho alipata kunieleza Mfumo mzima wa Jicho, Ufanyaji kazi, Matekeo na Faida zake kuhusu jicho halafu akanielekeza namna Utengezaji wa Camera ulivyofuatana na Mfumo wa Jicho kwa Ujumla.

View attachment 2672950

Nami kwa kwa nyakati tofauti (Darasani na kwingineko) nlipata kuusoma mfumo wa Jicho, kwanzia Mfumo wa Lens kwenye Jicho ufanyaji kazi wa Cornea Light Rays zinavyokuwa Converging hapo, na Mwishowe Formation ya Taswira kwenye Retina, Sensory informations zinasafirishwa na Optic nerve hadi kwenye Ubongo kwenda kufasiriwa ili mtu aweze kunga'mua katazama nini hivyo pekee vilitosha mimi kupiga mstaari ya kwamba kuna Msanifu mkubwa sana wa Mambo kama hayo kwenye mwili wa Mwanadamu Ambaye ni M/Mungu haiwezekani vitu hivi vitokee tu bila kuwa na Orgenizer na Mastermind wa Mpango mkakati wote.

Halafu Kwa Mara ya kwanza naingia Labour ward nikatazana mtiririko mzima wa mechanism ya normal Labour, halafu nikarefer na makuzi Ya mtoto hatua za ukuaji tumboni na Trimester zote za Mama mjamzito, na mabadiliko tofauti ya Kijusi tumboni kulingana Na Trimester hizo.

View attachment 2672958
Nikatazama movement zote za mtoto kutoka kwenye uterus(Mji wa Mimba) hadi kuzaliwa, namna mtoto anavyojikunja na kufanya rotation mbalimbali kutafuta mlango wa mama Ili kutoka (kuzaliwa), mfumo wa ulishaji mtoto tumboni kutoka kwa mama kuja kwa mtoto mbadilishano wa Hewa (Upumuaji) na utaoji taka mwili kupitia Umbirical Cord na Placenta kwa Ujumla vinatosha kabisa kukuaminisha wewe kwamba kuna mtalaam wa vitu alievipangilia mbali.

Pengine hivyo vyote vingekupa shida lakini somo la Human Embrology tu pekee lingetosha kukutoa sehemu moja kukupa mwangaza kwenda sehemu Nyingine hapo sijagusia kabisa kuhusu, Mambo mengine kama Geographia ya Ulimwengu Mfumo wa Gallaxy hadi kwenye Solar system kwa Ujamla.
Acha hivyo ambavyo pengine hujawahi viona Jeographia ya Dunia tu Miamba,bahari na Mazingira yetu pekee yalitosha kukuaminisha kuwa kuna Injinia na Mtengenezaji wa hivi vitu katika mpangilio wake.

View attachment 2672960

Ni juzi tu nmeshuhudia kote ulimwenguni habari iliyoenea kwa kasi sana kuhusu kupotea kwa Submarine iliyokwenda kutalii Mabaki ya Meli maarufu iliyozama zaidi ya Miaka 100 iliyopita meli ya Titanic.

View attachment 2672965

Na ndio wakati huu huu nikapata wasaa wa kukazia na Kusoma maajabu mengine mengi ya Bahari ikiwepo sehemu yenye kina kirefu zaidi ijulikanayo kama Mariana Trench na nyinginezo ambako hata mwanga wa Jua haujawahi kufika nlijifunza mengi sana ambayo yanahitaji uzi wake bila shaka na Conclusion inabaki pale pale M/Mungu aliyesanifu haya maumbo yote basi ni Mkuu sana.

View attachment 2672961

Matukio ni Mengi sana yaliyofanya niamini na kunithibitishia kuna Msanifu na Mtaalamu wa kuyapangilia hayo yote na sio theory tu kama ilivyo kw kina Charles Darwin na Russel wallace na Natural Selection zao.

View attachment 2672963
SHETANI KAMA MUNGU?
Juzi juzi tulitazama karibu dunia nzima picha zilizozagaa za Tajiri namba Mbili duniani kwasasa Elon Musk na Mmliki wa Makampuni makubwa Duniani Yanayojishughulisha na Vitu tofauti tofauti ikiwemo SpaceX na Tesla.

View attachment 2672967

Picha hizi zilimuonesha mwamba huyu akiwa katika pozi Za kimahaba na Ujio wa Hizi robotic Humanoids ambazo zitawawezesha watu kufanya mapenzi na Robot. Huku ikiwacost gharama kwa yoyote atakayehitaji kufanya hivyo.

Mapokeo ya watu kote ulimwenguni yalikuwa ni kwa namna tofauti, wengine wakipongeza wengine wakipinga , Wako waliodai sasa usumbufu na Maringo wanayoletewa na hawa dada zetu yatapungua ili kupunguza kadhia tunazokumbana nazo ili kupata kutuliza haja zetu. Hivyo hii ingeleta nafuu kujipatia roboti wako umchaji ujiridhishe mwenyewe na nafsi yako ukiwa nae.

Kiuhalisia M/Mungu kwa waaminio mungu Mfumo huu unakwenda tofauti kabisa na Mfumo aliouweka M/Mungu kikawaida.

Maandiko mengi yanaelezea hili hakuna asiyekumbuka "Zaeni Mkaongezeke". Nina uhakika hizi Humanoid bado hazina uwezo kama wa Mwanamke wa Kawaida wa Kuzalisha ovary ambazo zinaweza kuwa Fertilisezed na Mbegu za kiume achilia mbali kuhifadhi mtoto hata kwa miezi kadhaa kwenye Uterus.

View attachment 2672970

Na jibu la hapo ni Mwenyezimungu pekee ndiye aliyeweza kutengeneza mifumo yake ya namna hiyo. Mara kadhaa wanasayansi wamejaribu kufanya majaribio ya namna tofauti tofauti ikiwemo watoto wa Test Tube. Lakini bado haikufikia namna M/Mungu alivyopangilia mambo yake kwa namna alivyotaka yeye Yawe.

View attachment 2672971
Kikawaida pongezi na Akili nyingi zitasifiwa kwa Muundaji wa Robotic lakini kanuni ya Kimazingira inakwenda hivi ? Na je M/Mungu yupo radhi wanaadamu tuoane na Roboti?

SHETANI KAMA MUNGU?

Naam, nikurushe hadi kule kwa Lut na Watu wake kwenye Michezo ya Sodoma, Wanaume kuingilia wanaume wenzao na Maandiko yanatuhabarisha kabisa M\ Mungu alipata Ghadhabu na kutuma malaika wake kilichofata ni kilio, Machozi na Damu.

View attachment 2672973

Maandiko na historia kuhusu habari hii ziko tele kote duniani haina haja ya kuelezeana hapa.

Hivi ni juzi tu pia kulikuwa na sherehe za kuadhimisha maswala ya Ushoga duniani huku haki za watu wanaojihusisha na hayo ikiwa ni kipaombele.

View attachment 2672974
Ukitazama hivi sasa, ajenda kubwa sana ni Swala la Ushoga karibu mataifa makubwa yote yansapoti swala zima la Ushoga. Kupitia Ajenda tofauti tofauti wasanii, watu maarufu na kila namna inayowezekana ili kupenyeza uchafu huu.

Tumeshuhudia video tofauti tofauti za wasanii Wakipenyeza ajenda hio ya Ushoga na Hata Movie tofauti tofauti ikiwemo movie maarufu ya Money Heist na nyinginezo.

View attachment 2672975

Mfumo na Kununi ya Mwenyezimungu haimlazimishi au haimtaki mwanadamu kufanya Ufedhuli huu upuuzi huu na hata kikawaida huwezi kukuta wanyama wamepandana wenyewe kwa wenyewe jinsia moja.

Hizi Ajenda ambazo ukitazama kwa Undani ni matokeo ya Makundi ya Siri, KuOrganize mfumo ambao kikawaida kabisa shetani ndiye kiongozi wa Makundi haya na alishaahidi kuwa atakwenda tofauti kabisa na vile atakavyo Mungu, Na kama uonavyo vita hii ilianza zamani na Jamii ya Sodoma na Gomora ilikuwa mhanga mkubwa kabisa wa kadhia hiyo.
View attachment 2672976

View attachment 2672979
Ukirejelea katika historia kwenye Dini ya Kiislam washirikina Wa zama za Nabii Ibrahim walitaka kumwangamiza Ibrahim kwakuwa tu aliyavunja Masanamu ambayo Baba yake Ibrahim alikuwa akiyatengeneza na kuwauzia Mabwana wa Mji ule dahri nyingi zilizopita.

View attachment 2672977

Wewe ishi katika mfumo wa roho katika mwili, pangua katika roho yasikufikie katika mwili na kizazi chako kilindwe katika ulimwengu wa roho, haya ya wanadamu hutaweza kushindana nayo ikiwa wao wamejituni katika mwelekeo huo.
 
Sawa sawa mkuu
Asante kwa muongozo
 
Umeeleza vzr kaka mashallah allah barik
 
Back
Top Bottom