mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 412
Piga konyagi mkuu mwenzio nilikunywa flagn baada ya 1hour nikanywa value bado nipo
Sawa ntafanya hivyoMe nakushauri unywe halaf uone kitakachotokea kisha uje utupe majibu ili na sisi tujue huwa inakuwaje
Thanks mkuuKwani ukisubiri afya yako ikatengemaa utakuwa umemkosea Mungu au kwani ukienda bar ukanywa maji au juisi ni dhambi jijali mkuu heshimu mwili wako usiendeshwe Na pombe tulia mkuu ata ukinywa Leo utakuwa Na wasi wasi hakuna burudani hapo
Poa poapiga konyagi mkuu mwenzio nilikunywa flagn baada ya 1hour nikanywa value bado nipo
Ukishakunywa dawa yoyote na hasa dawa nzito kama za Malaria, typhoid na nyingine, hupaswi kunywa kileo chochote ndani ya siku saba. Baadhi ya dawa zikichanganyikana na pombe hasa ndani ya masaa machache tangu umeze dawa, ila kikubwa ni kuwa kileo huathiri uwezo wa dawa kufanya kazi. Vumilia hayo mapombe yapo tu, utakunywa!Habari za usiku huu waungwana,
Mimi nauliza, mfano umekunywa dawa za malaria (malafin) halafu ukapitisha 24 hours ukataka upige japo 1 moto 1 baridi.
Je kutakuwa na tatizo?
Habari za usiku huu waungwana,
Mimi nauliza, mfano umekunywa dawa za malaria (malafin) halafu ukapitisha 24 hours ukataka upige japo 1 moto 1 baridi.
Je kutakuwa na tatizo?
Okay thanksukishakunywa dawa yoyote na hasa dawa nzito kama za malaria, typhoid na nyingine, hupaswi kunywa kileo chochote ndani ya cku saba. baadhi ya dawa zikichanganyikana na pombe hasa ndani ya masaa machache tangu umeze dawa. ila kikubwa ni kuwa kileo huathiri uwezo wa dawa kufanya kazi. vumilia hayo mapombe yapo tu, utakunywa!
Baada ya siku tatu ndiyo unaweza piga keroro,ila unatakiwa upige maji ya kutosha not less than 3 litres per day.But kwa usalama zaidi unatakiwa kupiga masanga baada ya siku 7
Unaandika tokea jehanam wewe hauwezi kuwepo duniani.. Mpe Hi Mwalimu mwambie nchi inaatabikapiga konyagi mkuu mwenzio nilikunywa flagn baada ya 1hour nikanywa value bado nipo
Kunywa baada ya nusu saa pia inafaaHabari za usiku huu waungwana,
Mimi nauliza, mfano umekunywa dawa za malaria (malafin) halafu ukapitisha 24 hours ukataka upige japo 1 moto 1 baridi.
Je kutakuwa na tatizo?
Msaada wadau
Mfano ukimeza dawa ya malaria ile dosi ya siku moja.