Je mtaani kwenu haya mambo yapo?kwa mara ya kwanza inanishangaza!!!!

Yaani haiwezekani ukawa zombii hivyo! Huhitaji kuishi kila maisha ili uyaongelee, mengine una-observe tu na kujua imekaa kaaje. Mbona tunaongelea habari za.dunia nzima japo hatujafika?
Huku kwetu unamuona mmama amechafuka migold kila kona, anatokea nyumba ya matope na ameipangisha. Na anakula ugali tembele daily. Mtu haulizwi umekula nini, anaulizwa umevaa nini.

ahsante,ila kuna vitu ukivisikia kwa mara ya kwanza,vinakua mshangao,kwa kweli mimi sijaish sana kwenye jamii mda mrefu nipo kimasomo
shule ya msing nimesoma bording,o-level boarding,A-level bording,chuo nipo hostel/boarding thus why bado nashangaa coz bado sijaanza kuitumikia jamii na kukutana nayo
 
Watu bana wanapenda kuishi maisha ya kuigiza..mtu anaishi maisha ambayo si yake,kaazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom