MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,304
Katika Kongamano la Azimio la Arusha linalorushwa na ITV Live mzee J. Butiku ameeleza kwa nini azimio la Arusha lilikufa na tukajiingiza katika mfumo wa soko holela au ubepari.
Alieleza jinsi misingi na miiko ya azimio la Arusha lilivyoifikisha nchi pabaya mpaka kufikia kukopa 10mil. USD nchini India. Aliongeza kuwa wengi wa viongozi walikuwa hohehahe kiasi cha kukosa hata hela ya kujikimu na hata kushindwa kujenga nyumba zao.
Then akawauliza wasomi waliodai kutaka miiko na misingi ya Azimio kuingizwa kwenye katiba kama "WATAMUDU HIYO HALI ILIYOKUWEPO" Yaani kukubali kufunga makanda na kuishi tu kwa mshahara na kuishi bila kuitehemea IMF, World Bank na taasisi nyingine za wahisani.
Ninaamini vijana wa UDSM hawakujua walichokuwa wanafanya walipoambiwa mtamudu wakasema NDIYOOOO!!!!!! bila kuelewa wanajibu nini. ukweli ni kwamba alichouliza J. Butiku ni swali gumu na ambalo kwa wakati wetu jibu rahisi ni kwamba HATUMUDU kurudia misingi na miiko ya Azimio la arusha kwani itabidi tuamua kufanya kazi sana ili tusiombe misaada.
Mimi nafikiri ili kurudia misingi ya azimio la Arusha kinaga ubaga ni lazima tujenge uchumi wa nchi na wa mtu binafsi binafsi la sivyo itakuwa ngumu ku- re view na kuingiza misingi na miiko ya azimio la Arusha katika katiba mpa katika uso wa GLOBALISATION.
Tutaweza tu ku modify hiyo misingi na iendane na wakati tuliopo na siyo kufanya cut and paste ya miiko ya 1967 na kuingiza moja kwa moja kwenye katiba mpya