Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

Asprin my hubby nakuunga mkono kwa asilimia 150!!!!
yaani ngemshughulikia mkewe na hawara ya mkewe wala asingejibiwa nyodo za kipuuzi hivi...... shusha kipondo heavy cha mbwa mwizi........ mkeo akitoka hapo atahakikisha akiwa na hawara hutomgundua kamwe......na dharau zitaisha...

tena mwambie wenzie nyumba wanaandikisha majina ya watoto na si mke....kama vipi wafuate taratibu za kisheria sijui wauze wagawane(heri nusu hasara kuliko hasara kamili) hapa loya rutashobolwa atatusaidia zaidi........

Now I know........ Nlikuwa najiuliza huyu ndio yule Magulumangu nnayemjua??

Naomba nikuulize....

Ni kwanini uliandikisha jina lake? Alikulazimisha?
Unahisi "maisha" ni nyumba? Kwamba mkiiuza mkagawana utakuwa umepata pigo kubwa maishani?

Kiukweli ndugu yangu, kama huyo mmama kakuonyesha "mwanaume" mwenzio anayemvua chupi ilhali akijua ameolewa. Na huyo "mwanaume" akathubutu kukubali kukutanishwa na wewe pasipo shaka wala woga..... Na mbele ya huyo mwanaume mkeo akakiri mbele yake kuwa anampenda...... Mwanaume yeyote mwenye "wivu na anayempenda" mkewe hicho kikao kisingeisha salama.

Kukaa kwako kimya kwenye dhalilisho kuu kuliko yote kwa mwanaume kumedhihirisha

1. Yawezekana na wewe humpendi mkeo kiviiiiile
2. Unamwogopa sana mkeo (Alishawahi kukudunda?) kiasi kwamba ulihisi ukilianzisha ungeadhirika zaidi.
3. Umekubali yaishe kwa kuwa huna cha kufanya..... (Na hili ndilo limekufanya uanzishe hii thread)

Kwa taarifa yako, mwanaume mwingine yoyote nikiwemo mie, yangetokea yaliyotokea kwako, kuna uwezekano:

1. Mkeo sasa hivi angekuwa mochware/hospitali
2. Mwizi wa mke angekuwa mochware/hospitali
3. Mwenye mke angekuwa mochware/hospitali/polisi(kwa kosa la mauaji au kusababisha maumivu makali sana kwenye miili ya binadamu).

Naomba wake zangu cacico, Yummy, BADILI TABIA chini ya usimamizi wa Kongosho wasifike kusoma hii makitu. Mi sina roho mbaya kiviiiiile. Ngoja nimtafute Kaizer tukazimue. Hii sredi imeniuzi sana.
 
Last edited by a moderator:
Asprin my hubby nakuunga mkono kwa asilimia 150!!!!
yaani ngemshughulikia mkewe na hawara ya mkewe wala asingejibiwa nyodo za kipuuzi hivi...... shusha kipondo heavy cha mbwa mwizi........ mkeo akitoka hapo atahakikisha akiwa na hawara hutomgundua kamwe......na dharau zitaisha...

tena mwambie wenzie nyumba wanaandikisha majina ya watoto na si mke....kama vipi wafuate taratibu za kisheria sijui wauze wagawane(heri nusu hasara kuliko hasara kamili) hapa loya rutashobolwa atatusaidia zaidi........
Umeona wifey eh?

Kila siku nawaambiaga watu kuwa infidelity is inevitable lakini watu wananiona sijui mie chizi? na huwa nawashaurigi kwa kuwa hii makitu siku hizi hayakwepeki basi watu wacheat responsibly.... Ukiona mtu anacheat mpaka anakuonyesha live ujue huyu kishakuchoka na ameamua sasa basi, liwalo na liwe. Ni kama ntakavyomchukulia Yummy hatua kali muda si mrefu. Kila siku namwona anajiita Mrs. Mr Rocky afu tena ye ni mke mwenza wa Dena Amsi. Muda si mrafu napiga chini afu natafuta kifaa kingine niombe kibali kwenu niwowe. Mbona we unanicheat lakini sijui bana!
 
Last edited by a moderator:
well said majany..huyu jamaa kichwa ngumu hasaidiki...ladba atulie kwanza peke yake atulize kichwa chake ndio arudi akiwa na mudi ya kupokea ushauri!!halafu hiyo reflection ya mama yake...kwa mkewe..... mh!!
naona kama husaidiki vile,yaan una argument za kitoto,eti ana reflection ya marehemu mama,hakyanani huyo alishakuroga pia.Ngoja tuongee vitu vya msingi...Hivi Drogba ameshaenda Liverpool
 
Wana JF imekuwa ni muda sasa toka nipotee Jamvini hiyo ni life, I prefer not to say the reasons...Tatizo langu ambalo linasumbua kichwa changu kwa muda wa wiki mbili hivi sasa...nina mke toka miaka mitano sasa tumeoana, katika hili na lile akapata kazi MJI mwingine miezi miwili sasa na mie ikabidi nibanyumbani kumalizia mambo yangu then niungane nae, sasa siku nikaenda kumtembelea, siku ya kwanza tu nikaona tofauti machoni mwake na wasiwasi mwingi, kwanza simu yake tofauti na kawaida yake ikawa inafichwa sana hivo wasiwasi ukaniingia, nikaitafuta ilipo yeye akiwa amelala, kufungua tu nikakutana na Ujumbe "HEY SWEET I WILL BE LEAVING HOME TODAY, I MISS YOU ALREADY" nikamwita kwa upole na kumwambia nini hii? kawaida yangu huuliza kwa UPOLE, jibu nilolipa ni "NILIKUWA NASUBIRI NIJE HUKO ILI TUACHANE", kichwa kikaaloose control kabisa, niliumia sana, nikajaribu muuliza kama nimefanya kitu chochote kibaya, akasema hakuna ila niliekutana naye "HE IS DIFFERENT", nikawa mwanaume nikamwambia kwa miaka mitano sijawahi kuweka mkono kwake, sijawahi kumuwakia kwa lolote, na wala sitawahi kushout on her, basi nikamwambia twende kwa huyo jamaa ake mpye"THE DIFFERENT", bila aibu na kwa kujivuna jamaa akanijibu, "SHE IS BEAUTIFUL" I LOVE HER and I want to be with her, nilitaka kurusha ngumi lkn roho ikaniambia sio tabia yangu kukurupuka, nikamuuliza WIFE, unataka kuwa na mimi jibu lake ni "I DON"T KNOW", unataka kuwa na jamaa? jibu "KAKAA KIMYA", siku ilofuata nikarudi nae nyumbani, kila akipata mwanya anamwandikia jamaa sms, na jamaa anapiga simu any time he feels to..Alijaribu hata kunitukana kwa simu, lkn we differ in levels..jamani Mke wangu karudi kazini, hapa nilipo jana tu alikutana na jamaa,nimemwambia aache kazi hataki...najua kila mtu atalichulia hili kitofauti, lkn nampenda mke wangu, je, should I let it go? Sijafikiria kutarakiana maishani mwangu, CV ya maisha yangu itaharibika....naomba ushauri wenu...

Ndugu yangu nafikiri watu wamekushauri mambo mengi,naamin wewe si mtu wa kwanza kukutana na situation kama hiyo,wapo wengi ambao haya mambo yamewakuta.Mi najua kitu ''LOVE'' ni very very natural na huwa haulazimishwi hata siku moja. Inaonekana mkeo hana upendo tena na wewe hilo ukae ukijua, na hata kama ukilazimisha mkae pamoja bado sio suluhisho kwa vile alishaanza kutoka nje hawezi kuacha as ameshakwambia ''HE IS DIFFERENT'',means anachokipata huko kwa jamaa pengine kwako hapati. Najua hupendi kuachana naye but pia si hekima kumlazimisha muendelee kuwa pamoja wakati yeye hataki.Swali langu ni je mna watoto ambao mmezaa pamoja? kama una watoto naye,cha msingi wewe chukua watoto wako uwalee na huyo mwanamke mpe uhuru anaoutaka (Muache aende huko anakotaka aende).Hata kama mliapa kutokuachana lakini Yesu mwenyewe aliwaambia wayahudi kwamba huwezi kumuacha mkeo kwa sababu ndogo ndogo kama hajui kupika,mkali,nk lakini KWA UZINZI (Kutoka nje ya ndoa) hilo liko wazi haswa kwa wewe ambaye unasema ni mtumishi wa Mungu.Achana naye na uanze maisha yako upya,usiogope kuumia coz you will be fine with time. Huu ni ushauri tu ila maamuzi magumu unatakiwa ufanye wewe mwenyewe
 
...Mhhhh! inawezekana Mkuu! Ngoja aamke aje anyooshe hii habari kama ni hadithi hadithi, hadithi njoo... au ni ya ukweli kabisa.

https://www.jamiiforums.com/mahusia...-nimekipata-kigori-wenye-wivu-jinyongeni.html
Huyu dogo nikiunganisha dots naona katoswa na kademu kake ambako kalikua kanamhonga ela ambako pengine alidhani wataja kuoana ili apate mteremko. Sa nadhani kitumbua kimeingia mchanga ndio anakuja kufichaficha hapa na lelele nyiingi..ukiisoma tu hii 'hadithi' you will find a lot of inconsistencies hata kama ingekua post yake ya kwanza.

Mods piga bani hii..
 
Hapo ndipo nakupendea NK huwa unawapa ukweli watu wepesi kweli kuandika piga chini,kweli akili za mbayuwayu changanya na zakwako.

Hili tatizo si lako peke yako kaka ...ni la wanaume wengi wenye wake wa kung'ang'ania na kuganda.

Mi watu wakijishebedua humu kuwa as long as una pesa unaweza pata mwanamke yeyote nachekaga sana.

Hiyo strategy ina work kwa muda mfupi sana...baada ya muda mke anajuta kilichomtumbukiza kwenye ndoa iso na penzi...ndo cheating inaanza tena kwa mwendo wa hasira. Maana kama alikuwa anashobokea magari akiendesha mwaka anaanza kuyaona ya kawaida saaana. Kama ni nyumba the same. Kitu ukiwa huna unaona cha thamani, then ukiwa nacho unashangaa kilichokuwa kinakuzuzua ni nini.

Hakikisheni mnaoa kwa mapenzi si kutumia noti. Shaulilenu.
 
Umeona wifey eh?

Kila siku nawaambiaga watu kuwa infidelity is inevitable lakini watu wananiona sijui mie chizi? na huwa nawashaurigi kwa kuwa hii makitu siku hizi hayakwepeki basi watu wacheat responsibly.... Ukiona mtu anacheat mpaka anakuonyesha live ujue huyu kishakuchoka na ameamua sasa basi, liwalo na liwe. Ni kama ntakavyomchukulia Yummy hatua kali muda si mrefu. Kila siku namwona anajiita Mrs. Mr Rocky afu tena ye ni mke mwenza wa Dena Amsi. Muda si mrafu napiga chini afu natafuta kifaa kingine niombe kibali kwenu niwowe. Mbona we unanicheat lakini sijui bana!

He he he namimi naingiaje kwenye kesi ya Yummy wajameni mboan wanionea bureeeee Mr. Rocky Wangu hana maneno he he he he (Asprin Infiii iko pale pale haikwepeki B......malizia wewe mwehhhh)
 
Pole sana mkuu, mkeo amekuchoka cause kama angekua bado anakuhitaji angeonyesha hali ya kujutia anayoyafanya na angeomba msamaha. From what i see ameshadanganyika, let her go dunia itamfunza, ukimlazimisha abaki utakua unatwanga maji kwenye kinu na utaumia zaidi. Just think about present hayo ya sijui akirudi utamsamehe?achana nayo time will tell. Wewe sio wa kwanza wala wa mwisho kupitia haya, kila la kheri!
 
Pole sana mkuu, mkeo amekuchoka cause kama angekua bado anakuhitaji angeonyesha hali ya kujutia anayoyafanya na angeomba msamaha. From what i see ameshadanganyika, let her go dunia itamfunza, ukimlazimisha abaki utakua unatwanga maji kwenye kinu na utaumia zaidi. Just think about present hayo ya sijui akirudi utamsamehe?achana nayo time will tell. Wewe sio wa kwanza wala wa mwisho kupitia haya, kila la kheri!
 
Wana JF imekuwa ni muda sasa toka nipotee Jamvini hiyo ni life, I prefer not to say the reasons...Tatizo langu ambalo linasumbua kichwa changu kwa muda wa wiki mbili hivi sasa...nina mke toka miaka mitano sasa tumeoana, katika hili na lile akapata kazi MJI mwingine miezi miwili sasa na mie ikabidi nibanyumbani kumalizia mambo yangu then niungane nae, sasa siku nikaenda kumtembelea, siku ya kwanza tu nikaona tofauti machoni mwake na wasiwasi mwingi, kwanza simu yake tofauti na kawaida yake ikawa inafichwa sana hivo wasiwasi ukaniingia, nikaitafuta ilipo yeye akiwa amelala, kufungua tu nikakutana na Ujumbe "HEY SWEET I WILL BE LEAVING HOME TODAY, I MISS YOU ALREADY" nikamwita kwa upole na kumwambia nini hii? kawaida yangu huuliza kwa UPOLE, jibu nilolipa ni "NILIKUWA NASUBIRI NIJE HUKO ILI TUACHANE", kichwa kikaaloose control kabisa, niliumia sana, nikajaribu muuliza kama nimefanya kitu chochote kibaya, akasema hakuna ila niliekutana naye "HE IS DIFFERENT", nikawa mwanaume nikamwambia kwa miaka mitano sijawahi kuweka mkono kwake, sijawahi kumuwakia kwa lolote, na wala sitawahi kushout on her, basi nikamwambia twende kwa huyo jamaa ake mpye"THE DIFFERENT", bila aibu na kwa kujivuna jamaa akanijibu, "SHE IS BEAUTIFUL" I LOVE HER and I want to be with her, nilitaka kurusha ngumi lkn roho ikaniambia sio tabia yangu kukurupuka, nikamuuliza WIFE, unataka kuwa na mimi jibu lake ni "I DON"T KNOW", unataka kuwa na jamaa? jibu "KAKAA KIMYA", siku ilofuata nikarudi nae nyumbani, kila akipata mwanya anamwandikia jamaa sms, na jamaa anapiga simu any time he feels to..Alijaribu hata kunitukana kwa simu, lkn we differ in levels..jamani Mke wangu karudi kazini, hapa nilipo jana tu alikutana na jamaa,nimemwambia aache kazi hataki...najua kila mtu atalichulia hili kitofauti, lkn nampenda mke wangu, je, should I let it go? Sijafikiria kutarakiana maishani mwangu, CV ya maisha yangu itaharibika....naomba ushauri wenu...

Daah,tears on my eyes!Iwill pray for you,hilo ni pepo la mafarakano,usifanye uamuzi mapema kaka,hayo ni majaribu na unapaswa kuyashinda,sure she is not ok kabisa,sio yeye kabisa.
 
Cant believe this is true....
As long as naijua NDOA na merits zake...hii sio ndoa na haina guts zozote za kuendelea kuwepo..
The reason ni kwamba misingi yote ya ndoa imeshabomolewa ukiwemo ule mkuu wa UAMINIFU.. Magulumangu dont ever think that you will eat the cake while expecting to have it..
Achana na habari za CV yangu itakuwaje bana..kwani mpaka hapo ishabomolewa..kick out that wife of yours and start life afresh...Kuanza Upya sio Ujinga!!
 
Mapenzi ya mbali yana taabu..................

Kama ni kweli umebehave hivyo ulivyosema big up sana yaani nakufagilia kinoma................

Kama bado unampenda Mkeo mchukulie ni ujinga/ushamba/ulimbukeni unamsumbua............

Hebu mfate mkae pamoja muulize taaratiiiiibu nini kimemfanya akutendee hayo yote
Kuna mengi hapa ujue either jamaa kampata anampeleka out....
Jamaa ana gari wewe huna hata kama unalo humpeleki kazini
Jamaa anatoa matumizi wewe ulikuwa unatoa kihome home si kiinfiiii (hapa kuna tofauti)
Hujawahi kumpa zawadi ya Birthday yake jamaa kapeleka maua.............

I'm talking through my experience..................

Kwasababu hiyo jeuri isijekuja kwa haraka kiasi hicho wanawake hudanganywa na vitu vidogo sana
hata kama anapesa akifanyiwa kakitu kadogo anaona kapendwa ambacho wewe ulikuwa hufanya
Sex si sana kivileeee watu siku hizi wanaangali vitu vya nje kwa sana
Kaka jiangalie na umuulize huyo jamaa kamfanyia nini au ukitaka kupata ukweli
nenda ukamkasirishe utaupata ukweli maana atakwambia tu afadhali "The Different" ananifanyia hivi
na vile wewe hujui mapenzi hujui kupenda na mengine mengi utayapata akisema na hasira.

Ni hayo na uwe na siku njema
 
Labda. . . .

1. Hadithi ya kutunga sana kama Natalia (njoo basi utupe yale makitu)
2. Jamaa mtungi wake unapanda kwa tabu au risasi zake ni kama za maji maji war (they turn in to water zikikutana na za mkewe) anaogopa kumwacha mkewe sababu kamfichia aibu siku mingi
3. Kaona 'wangu mama Keri' au Laila Ali
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom