displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,950
- 1,039
Wana JF kwa haraka tu huu mjadala wa hitimisho wa ripoti ya kamati ya PAC unaoendela usiku huu.
Kwa uchunguzi wangu wa haraka nimeona wabunge wanaochangia hoja ni walewale tu.
Nimekumbuka kile kifungu katika katiba pendekezwa cha kutupilia mbali Uwezo au Elimu ya mbunge na kubakisha tu ajuae kusoma na kuandika tu.
Mimi naanza na wa Bunge hawa niwajuao wanao jua kusoma na kuandika tu sijui na mipasho au ububu.....na kufanya kutoongea leo.
1. Aziz Abood wa Morogoro
2. Lusinde aka kibajaji jana kabwatuka leo kimyaa sijui ni night session ngumu kwake au kujua kusoma na kuandika tu.
3.Shabiby
4.WALETENI WENGINE JAPO TUWAFAHAMU TU................itasaidia sana hata kwenye Kura ya Maonu ya Katiba pendekezwa.
Nawasilisha.