Je, mbinu inayotumiwa na CCM kwa kipindi hiki ya kukaa kimya itakisaidia chama hicho?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,075
1,864
Nipende tu kuwakumbusha kauli ya Katibu mkuu CCM kwamba, watafanya kampeni kitanda kwa kitanda, na ndicho kinachoendelea, wako wanashugurika na kushawishi wanawake na wazee, walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabasa.

Mfano, kupitia TASAF, Sasa hivi majina yameongezwa, haijalishi unakipato gani, ukiwa na umri kuanzia miaka 50 unapewa pesa kupitia TASAF, ndivyo khari ilivyo. Siyo tu hivyo, Kuna mbinu Kali zimepangwa ndani na nje ya chama Cha Mapinduzi, kupitia mgongo wa Serikali.

CCM wataendelea na uzinduzi wa miladi na kujinadi kwamba wao Ni vitendo, lakini pia wamechagua kukaa kimya bila kujibu mapigo ya wapinzani, na hapo ndipo watu wengi wanamatamanio kusikia Nani atakuwa mjibu mapigo ya upinzani, ila all in all.

Je kampeni za kitanda kwa kitanda zitawasaidia CCM? au wanashindwa jinsi ya kumsaidia m/kiti wa ccm?

Siasa Ni sayansi, usimdhalau mpinzani wako
 
Nipende tu kuwakumbusha kauli ya Katibu mkuu CCM kwamba, watafanya kampeni kitanda kwa kitanda, na ndicho kinachoendelea, wako wanashugurika na kushawishi wanawake na wazee, walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabisa.

Mfano, kupitia TASAF, Sasa hivi majina yameongezwa, haijalishi unakipato gani, ukiwa na umri kuanzia miaka 50 unapewa pesa kupitia TASAF, ndivyo khari ilivyo. Siyo tu hivyo, Kuna mbinu Kali zimepangwa ndani na nje ya chama Cha Mapinduzi, kupitia mgongo wa Serikali, ccm wataendelea na uzinduzi wa miladi na kujinadi kwamba wao Ni vitendo, lakini pia wamechagua kukaa kimya bila kujibu mapigo ya wapinzani, na hapo ndipo watu wengi wanamatamanio kusikia Nani atakuwa mjibu mapigo ya upinzani, ila all in all, je kampeni za kitanda kwa kitanda zitawasaidia CCM? au wanashindwa jinsi ya kumsaidia m/kiti wa ccm?

Siasa Ni sayansi, usimdhalau mpinzani wako
 
Subiri kampeni zianze ndipo utakua ccm tumejipanga vipi
Ccm chama kikubwa sio kuongea hovyo na kuropoka,kwa sasa tupo bize kudurusu Sera zetu,filimbi ikianza tu tutaenda chini kabisa kueleza tumefanya Nini,na tukipewa dola tutafanya nini.nyie hangaikeni na uwanja na mbuga chato
 
Wamepigwa na Butwaa, inaitwa tatu bila wamebaki kugombana na kila anaeongea na Lissu.

Ile mizuka ya kipayuka payuka ya Akina Mwigulu, Lusinde, Msukuma, Mlinga na akina Ali wa Nkasi huko zimepotea mazima. Huku wajumbe nao wameshafanya yao.

Kinachofamya wakae kimya ni ile kukosa uhakika wa kurudi. Bado wanapambana na wajumbe
 
Nipende tu kuwakumbusha kauli ya Katibu mkuu CCM kwamba, watafanya kampeni kitanda kwa kitanda, na ndicho kinachoendelea, wako wanashugurika na kushawishi wanawake na wazee, walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabasa...
Polepole juzjuz hapa kaitisha press conference kupiga kelele kuhusu lisu unasema wapo kimya, hawawez kukaa kimya kwa mgombea aina ya lisu kwani wanajua kufanya hivyo hawatafikisha 20% ya kura mwaka huu.
 
Mleta mada

Utajibu nini kwa spana ya kujenga uwanja wa ndege kijijini kwenu? Tena kwa kampuni inayosemekana una uhusiano nayo? Kwa taratibu za kihuni ambazo hazikujadiliwa wala kupitishwa na Bunge?

Ndugu, utajibu nini kwa spana ya kupeleka wanyama mbuga ya Burigi Chato wakati kina hifadhi ya Saadani hapo bagamoyo tu, wanyama wamepungua na wala hawapelekwi?

Suala ni kwamba huwezi kujibu spana za Lissu, mbaya zaidi utajishalilisha tu!

Hao tasaf waa hé tu wagawe izo hela! Watanzania wa leo sio wa jana!! Mbona wajumbe walikula hela na spana walipiga?
 
Nipende tu kuwakumbusha kauli ya Katibu mkuu CCM kwamba, watafanya kampeni kitanda kwa kitanda, na ndicho kinachoendelea, wako wanashugurika na kushawishi wanawake na wazee, walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabasa.

Mfano, kupitia TASAF, Sasa hivi majina yameongezwa, haijalishi unakipato gani, ukiwa na umri kuanzia miaka 50 unapewa pesa kupitia TASAF, ndivyo khari ilivyo. Siyo tu hivyo, Kuna mbinu Kali zimepangwa ndani na nje ya chama Cha Mapinduzi, kupitia mgongo wa Serikali...
MATAGA wamepigwa bumbuwazi ndugu, wala si kukaa kimya eti kimkakati. wamechanganyikiwa kwa jinsi Lissu anavyotoa majibu ya tambo zao za miaka 5.

Lissu kawapiga bumbuwazi MATAGA kwani kwanza hawakuamini jamaa angerejea nchini na pili kwamba angeweza kutoa majibu ya tambo zao this comprehensively.

sasa MATAGA wamerudi kwenye drawing board ili kutunga kiki nyingine fake - Lissu anawasubiri, Watanzania wanasubiri kumsikiliza Lissu.

wameishia kuwaagiza kina Sirro na Kaijage kumjibu Lissu kimkwara but unapompiga mkwara Lissu ni kama kumpiga chura teke.

mimi ni CCM by the way lakini si MATAGA.

habari ndiyo hiyo!
 
Nipende tu kuwakumbusha kauli ya Katibu mkuu CCM kwamba, watafanya kampeni kitanda kwa kitanda, na ndicho kinachoendelea, wako wanashugurika na kushawishi wanawake na wazee, walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabasa...
We kilaza kweli,tasaf ipo mda mrefu haijaanza leo
 
Hawana hoja..tulishachoka hotuba zao za kujenga madaraja na kununua ndege nk
 
Kila siku tunasikiliza madaraja, sgr, reli. Manina tumewachoka. mmekuwa machoko
 
Miaka mitano yote wamepiga siasa wenyewe mpaka kufika hatua ya kujiona upinzani wameuua saivi hawana la kuwaambia wananchi zimebaki tu mboyoyo mboyoyo za kila siku.

Kwa kifupi ccm wamepanic na raundi hii Zanzibar wanaipoteza na hapo ndipo watakopo gundua kuwa ni utopolo tu walikuwa wanafanya miaka mitano.
 
Hawana cha kujibu kwani miaka yote mitano wameitumia kufanya maendeleo ya vitu na si watu hivyo cha kuwaambia watu hawana na badala yake wanajibu kwa kutumia vyombo vya dola.
Hahaha...shuleni mlienda kusomea ujinga? kweli iwe ni Uraia katika shule za msingi, Civics kwa O level na GS kwa A level nilisoma aina mbili tu za maendeleo, Personal na National development, hiyo yenu ya maendeleo ya vitu haipo, hao mabwana zenu wamewaingiza chaka.
 
Hahaha...shuleni mlienda kusomea ujinga? kweli iwe ni Uraia katika shule za msingi, Civics kwa O level na GS kwa A level nilisoma aina mbili tu za maendeleo, Personal na National development, hiyo yenu ya maendeleo ya vitu haipo, hao mabwana zenu wamewaingiza chaka.
Hivyo vitu ndio vitawapigia kura.
 
Back
Top Bottom