Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 950
- 2,866
Mama anawapenda sana waarabu,je anafurahia sherehe za Mapinduzi ambazo ziliua waarab na kuwafukuza nchini Zanzibar!?
Wakati Waarabu wa Omani walipokiteka kisiwa cha Mombasa kutoka kwa Wareno 1698, Zanzibar na Pemba zilikua chini ya watawala wa Kiarabu kutoka Omani, na baada ya zaidi ya karne moja waliondoka na kukiacha kisiwa hicho chini ya utawala wa Wazanzibar.
Mama anasema Oman ni wajomba zake, je anafurahia sherehe hizi za Mapinduzi zilizowafukuza waarabu?