Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,974
- 22,166
Akubali kurusha Ndege mbovu za ATCL,
Akubali kununua Ndege Mbovu
Aokolewa na Waziri wa Kilimo
Mramba hatimae anena
Zitto: wahusika waliofikisha hali hii lazima waadhibiwe, Kwanini viongozi husika wasifungwe gerezani,hawa ni wauwaji kabisa
Hatimae waziri wa miundo mbinu mh shukuru kawambwa jana alihitimsha yale makelele yaliokuwa yakipigwa kila siku na wana JF,kama si busara za mhe spika kwe kweli jana yalikuwa yamkute yaliomkuta mh waziri mkuu alieachishwa kwa manufaa ya umma Mh EL.,ilikuwa mwanzoni kama cinema ya shwaziniga lakini muda ulivypokuwa ukiendelea mh aliendelea kuwa na wakati mgumu sana kwa wale waliosikiliza kipindi cha bunge.
Kwa mara ya kwanza mh waziri amekubali kwamba uongozi wa ATCL ulidiriki kununua Ndege mbovu za kubebea abiria,na kudiriki kubeba abiria muda wote huo ikijua ndege hazina ubora wa kiwango kinachotakiwa,katika kubanwa na maswali ya waheshimiwa wenye uchungu na ndege zao mh kawambwa alidiriki kusema namnukuu
"PAMOJA NA KUNUNUA NDEGE MBOVU KUNA SI WAKATI WOTE HAZIFAI KUBEBA ABIRIA""mi na wewe hatujui maswal ya ndege nahisi waheshimiwa wa TCAA wanaweza kutuelekeza hapa hii statement ina maana gani??
Akiwa anatoka jasho kama amemwagiwa maji mh waziri wa miundo mbinu ambae JF kama kawaida ilidiriki kupoteza pg zaidi ya mbili kwenye kijarida cha cheche kuweza kuwatabainaisha waheshimiwa nini kinaendelea ATCL lakini hakuna kilichotendeka muda wote mpaka lilipoamuliwa kutorusha ndege zake.
Baada ya muda alisimama mbunge mmoja mwadilifu na kumuuliza mh waziri haoni kama uongozi wa atcl umediriki kununua ndege mbovu tena kwa bei ya juu tofauti na soko la AIRBUS lilivyo na hivyo kutia mashaka kuna watu wanakula pesa nyingi tu kila mwezi zaidi ya doller 100,000 kwenye malipo ya hii ndege uko ilipotokea,JF ikusita kuleta hadi website za Airbusili ziwasaidie kutafuta watu wanaofaa ndege zilizoimara,,na kama wamwekuwa na kibri kama hiki ambacho TCAA ikilijua hili hauoni mh waziri kuna umuhimu wa kuwafikisha hawa VIONGOZI WOTE WA ATCL MAHAKAMANI haraka iwezekanavyo??maana hawa mi nawachukulia kama ni wauwaji kabisa akinukuu!
La hasha alisimama yule "FISADI WA EPA""Mh B.Mramba ambae ana hisa kubwa shirika la PRECISSION ,na ambae kipindi akiwa waziri wa miundo mbinu bila kujijua alirekodiwa kisema bora shirika la TACL life, Baada ya kuona hoja zake azikubaliwi akadiriki kuandika barua kuonyesha imetokea precission wakiomba waungane na ATCL na kuwa Nation airline,,bila kuwa na akili akaliwasilisha hojazake kwa waziri mkuu zikapingwa akaamua kuwa mdogo na kuanza kupambana rasmi na ATCL,,huyu huyu nae jana alidiriki kusimama na kusema viongozi wote wahusika lazima waadabaishwe haraka sana.
Yah ni kweli lakini kama ni kuwaadabisha nafikiri tungeanza nae kwanza maana akiwa na majukumu ya kuhakikisha atcl inaruka ndi aliechangia kufa kwa atcl