NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,382
- 12,948
Nilimuona kijana mmoja(Ahmedy Ally) kwenye interview akisema kuwa "Samuel Etoo alitupigia simu na kutusihi kuwa tusimuache Esomba Onana"
Je Kuna ukweli wowote au Ahmedy Ally alitaka kuthibisha Yale maneno aliyoyasema Mwenyekiti msitaafu wa Simba sc Rage (Sitoyataja kwa maana yanajulikana).
Endapo Onana kiwango kitaendelea kuwa chini hapo watalaumiwa kamati ya usajili au Samuel Etoo??
Nawasilisha hoja.