commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
Hivi karibuni shirika la NSSF lilitutangazia kuingia mkataba na serikali wa ujenzi wa daraja la kigamboni ili kuondoa kero kwa wakazi wa kigamboni kwa kuwapa kivuko chenye uhakika.
Swali langu gumu ni kwamba nchi kwa sasa ina matatizo makubwa sana ya usafiri katika Reli ya kati.kutoka Dar es salaam hadi kigoma na Mpanda.hii inatokana na uchakavu wa miundombinu
Katika reli hiyo ikiwa ni pammoja na uchakavu wa mitambo na miundombinu ya reli yenyewe.
Sasa najiuliza ni kwa nini kama NSSF ilikuwa na lengo la kutumia mabilioni yote hayo ya hela je ni kwa nini isingeziingiza hapa kwenye reli sehemu ambayo ni kero kwa idadi kubwa kwa waqmnchama wake kwa idadi kubwa kuliko kigamboni ambayo ina wakazi wachache kuliko hawa wa mikoa ya Reli ya kati?
Je hii haitufanyi tuone kama ni mpango wa wakubwa fulani ili kukamilisha ule uwekezaji wao wa mji wa kisasa ambao hata hivyo umeleta mgogoro mkubwa kati ya hao wawekezaji na wakazi halali wa kinondoni?