i411
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 906
- 290
utumiaji wangu wa mac kwa miaka zaidi ya mitatu sasa sijawahi ona habari yoyote ya virus ni kama miezi mmitatu iliyopita kulikuwa na kahadisi ka malware MACDEFENDER ambayo ilikuwa pia ni sio raisi kwawatu kujirun kwa komputer mpaka mtu airuhusu kwa kuweka password yake. Na kwavile watu wanaotumia mac wanajua hakuna malware haikuwa raisi kuingia mkenge lakini apple wameshatoa udate siyo tatizo tena. kitukingine labda haujui watu wengi wanaotumia mac ni wenye hela sana kama mimi ninekuwa nataka wizi basi ningetengeneza virus wa mac na ningeibia hao hata nikimpata mmoja kuna uwezo akawa tajiri sana inalipa. lakini windos unatengeneza viruses zinawapata walalahoi tuu hakuna faida zaidi ya kucrush komputer zao.Zipo virus za Mac, ila waandishi wa virus hawapendi kuandika virus za Mac kwasababu uwezekano wa virus kuspread ni mdogo sana kwa sababu Mac ina asilimia ndogo sana la soko, point ya virus ni kuspread hakuna maana ya kuandika virus kwa system usiyotumika.
Antivirus inategemea unatumia ipi, Norton ni slow vibaya sana, Microsoft Security Essentials(Bure) hauwezi kunotice kabisa kuwa inarun iko light sana, so tumia hiyo.
Mimi nina Acer ya under $1000 na haicrash hata siku moja, utakua unakosea somewhere aka "User Error".