Je, kuna uwezekano wa kubadili kozi katika chuo kikuu Cha UDOM?

Habari wana JF?

Nauliza je kunauwezekano wa kubadili kozi katika chuo kikuu Cha UDOM ikiwa nahitaji kuchukua kozi ya nursing na pass zangu Ni DCD?
Kwa pass hizo ngumu sana mkuu sio kwamba vigezo huna ila ushindani utakutema utapoteza elfu 50 yako bure mkuu.
 
Kwani kubadili course ni elfu 50?
Yeah kwa Udom kuna ile inaitwa intra transfer university unabadili program uliodahiliwa mfano unatoka nursing unabadili unaenda doctor of medicine huwa wanalipia elfu 50 na hii ufanyika baada ya chuo kufunguliwa kama week mbili au tatu hivi baada ya kufungua chuo.
 
Huo ufaulu wake ni ngumu kupata transfer ataliwa 50 yake tu
 
Back
Top Bottom