Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

Randy orton

JF-Expert Member
Apr 29, 2019
1,338
3,541
Kwa Mujibu wa Quran, yafuatayo ndiyo yalikuwa maajabu/mamlaka ya Nabii Issa.

1. Aliweza kuwaumba ndege kwa kufinyanga udongo na kuwapulizia pumzi ya uhai (Quran: 3-49).

2. Aliwafufua watu kutoka wafu (Quran:3-49).

3. Ndiye mtu aliyetajwa zaidi katika Quran, moja kwa moja mara 25 (ili hali Mohammed ametajwa mara 5 tu), na pia amekuwa refered kwa majina mengineyo kama Al Masih n.k kupelekea idadi kutajwa kwa majina mengineyo iwe zaidi ya mara 50.

4. Alianza kuangea akiwa mchanga kabisa, (Surat Maryam 19:30-33).

5. Kuwalisha watu chakula kutoka Mbinguni (Surat Al Maidah 5:112-115).

6. Hakufa na amepaa kwenda mbinguni (Surat Nisa 4:157-158).

7. Issa Hajafa.

Wamekufa mitume wakubwa sana, manabii wakubwa sana ila Issa hajafa , mpaka leo hii napost hapa Issa yuko zake Mbinguni ( Sura An Nisa 4-157,158).

8. Issa atarudi tena Duniani, na ndiye alama (sign) ya hukumu ya ulimwengu .

( Sura Az- Zukhruf 43-61)

Nimeweka vyanzo kutoka kwenye Quran pekee ili kutoleta changamoto ya usahihi au ubatili wa Hadith.

Vilevile kwa kuwa Quran ndicho kitabu kinachoaminika kuwa hakina shaka na jamii ya Kiislamu , ni vyema huu mjadala
Ubakie kwenye chanzo kimoja kinachoaminika cha Quran pekee.

Naalika mwenye hoja Kinzani kutoka kwenye Quran aje na aya tujadili mada hii.
 
Mleta mada hzo Aya zote ulizonukuu mwisho wa Aya hiz Allah amemalizia kwa ksema Issa ameyafanya hayo "bi idhinii" yan kwa idhini yake yeye Allah, other wise isingewezekna, Halafu pia kwa mijibu wa Quran binadam mwenye miujiza zaidi ni Muhammadi *s.a.w ,na Muujiza mkubwa kliko yoteee tangu dunia iumbwe ni kitabu cha "Quran "
 
Umeongea maneno matupu bila kuleta aya.

Njoo na aya mkuu.

Halafu tutaanzia hapo
 
Kwa Mujibu wa Quran, yafuatayo ndiyo yalikuwa maajabu/mamlaka ya Nabii Issa.

1. Aliweza kuwaumba ndege kwa kufinyanga udongo na kuwapulizia pumzi ya uhai (Quran: 3-49).

2. Aliwafufua watu kutoka wafu (Quran:3-49).

3. Ndiye mtu aliyetajwa zaidi katika Quran, moja kwa moja mara 25 (ili hali Mohammed ametajwa mara 5 tu), na pia amekuwa refered kwa majina mengineyo kama Al Masih n.k kupelekea idadi kutajwa kwa majina mengineyo iwe zaidi ya mara 50.

4. Alianza kuangea akiwa mchanga kabisa, (Surat Maryam 19:30-33).

5. Kuwalisha watu chakula kutoka Mbinguni (Surat Al Maidah 5:112-115).

6. Hakufa na amepaa kwenda mbinguni (Surat Nisa 4:157-158).

7. Atarudi Duniani.

Nitaendelea.
Mudi alijitahid sana KUCOPY, KUPASTE NA KUFORMART lakini wapiii

The Icebreaker
 
Mleta mada hzo Aya zote ulizonukuu mwisho wa Aya hiz Allah amemalizia kwa ksema Issa ameyafanya hayo "bi idhinii" yan kwa idhini yake yeye Allah, other wise isingewezekna, Halafu pia kwa mijibu wa Quran binadam mwenye miujiza zaidi ni Muhammadi *s.a.w ,na Muujiza mkubwa kliko yoteee tangu dunia iumbwe ni kitabu cha "Quran "
Kuruani ni muujiza kivipi kwa Mudi, kwani aliandika yeye?
 
Quran 2:97

Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur’ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.”

Quran IMEANDIKWA NA ADUI WA GABLIEL.
ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NI SHETANI.

SO QURAN IMEANDIKWA NA ...............
 
Mleta mada hzo Aya zote ulizonukuu mwisho wa Aya hiz Allah amemalizia kwa ksema Issa ameyafanya hayo "bi idhinii" yan kwa idhini yake yeye Allah, other wise isingewezekna, Halafu pia kwa mijibu wa Quran binadam mwenye miujiza zaidi ni Muhammadi *s.a.w ,na Muujiza mkubwa kliko yoteee tangu dunia iumbwe ni kitabu cha "Quran "
Lete haya mkuu
 
Back
Top Bottom