Je kuna maprofesa na madokta (PhD) jeshini??

Hakuna jeshi la uhamiaji, ile ni idara ya uhamiaji.

Kwanza nchi hii tuna jeshi moja tu JWTZ hivyo vingine ni vikosi tu.
Mkuu rekebisha sentensi yako mwishoni mwa ufafanuzi wako, Polisi sio kikosi ni jeshi "POLICE FORCE" ila ktk mfumo wake ndio kuna vikosi kv.
1.Field Force Unit (FFU)
2.Criminal Investigation Department (CID).
3.Fraud Unit.
4.Identification Bureau (IB)
5.Traffic nk, hivi ndio baadhi ya vikosi au Units ndani ya Police force au JESHI LA POLISI (kiswahili)
 
Elewa tu kwamba Jeshi ni moja tu JWTZ, tena hao Police inatakiwa iitwe Tanzania Police service TPS.
 
Habari.
Nilitaka kujua maana sijawahi waona wala kusikia hawa 'wasomi' ktk nyanja ya jeshi eidha jwtz au polisi au jeshi lolote!
Mkuu wa jeshi la magereza kamishna jenerali Dr. Juma Malewa

Mkuu wa jeshi la Uhamiaji Kamishna Jenerali Dr. Anna Makakala
2f9ae9542a4f4d8326e781decc181d2c.jpg
7de394499428ffe5aaa56f26093493ba.jpg
 
Elewa tu kwamba Jeshi ni moja tu JWTZ, tena hao Police inatakiwa iitwe Tanzania Police service TPS.
Jitahid kusoma katib ya nchi ndy utajua majeshi n mangapi nchini, usilete mambo yako ati kisa Ghana, s/Africa Police wanaita 'police service' ati na Tz tuite ivyoo hapana tunaongozwa na katiba ya nchi inayo lindwa na Jeshi {Jw}.
 
Habari.
Nilitaka kujua maana sijawahi waona wala kusikia hawa 'wasomi' ktk nyanja ya jeshi eidha jwtz au polisi au jeshi lolote!
majeshi yote yanao, we unawatakia nini?
umetumwa na PAKA? au Joyce Banda?
 
Zamani walikwenda vyuo vyao vya kijeshi. Egypt,Israel, UK, Canada,USA, Cuba, India. USSR,.
Enzi ya Kambarage.
 
Wapo ila wachache kuwalipa inahitaji uwe nao wachache uweze kuafford mshahara yao
yaani u limit uwepo wao kwa kuogopa kuwalipa? hiyo ni phylosophy Ya wapi? hujui kuwa Prof anazalisha na kujilipa mwenyewe?
 
Jitahid kusoma katib ya nchi ndy utajua majeshi n mangapi nchini, usilete mambo yako ati kisa Ghana, s/Africa Police wanaita 'police service' ati na Tz tuite ivyoo hapana tunaongozwa na katiba ya nchi inayo lindwa na Jeshi {Jw}.
Nadhani unajipinga mwenyewe, soma para ya mwisho ulichokiandika wewe mwenyewe.
 
Elewa tu kwamba Jeshi ni moja tu JWTZ, tena hao Police inatakiwa iitwe Tanzania Police service TPS.
Hiyo TPS unayosema inatakiwa iitwe na nani? Mfumo ulioko sasa ambao ndio rasmi kikanuni tumeurithi toka ktk Imperial system tangu Uhuru toka kwa Waigereza tulicho badilisha sisi ni jina na kiasi fulani muundo wa uendeshaji toka Tanganyika Police iliyokuwa na Influence ya ukoloni wa British empire na sasa tuna Police force kama jeshi la dola lenye jukumu kamili la kusimamia usalama wa ndani ya nchi na huu ndio mfumo rasmi wa uendeshaji wa majeshi ya Polisi karibu ktk nchi zote za commonwealth.
 
Hakuna jeshi la uhamiaji, ile ni idara ya uhamiaji.

Kwanza nchi hii tuna jeshi moja tu JWTZ hivyo vingine ni vikosi tu.
Mkuu nchi ni kweli nchi zingine hizo ni idara. Lakini kwa TZ hayo ni majeshi. Kila nchi na taratibu zake
 
Maelimu ya wtz hayanaga impact yoyote zaidi ya kugaiwa cheo.They don't solve critical problems of black people,they don't innovate neither invent new technologies. Tofauti ya waafrika waliosoma na wasiosoma hizo PhD ni madaraja ya vyeo,PhD ktk Afrika ni siraha ya kuwanyanyapaa wasiosoma has a ktk siasa.PhD za wenzetu huzitumia kuunda siraha Kali za kibailojia,siraha Kali za nyuklia,siraha Kali za kikemikali.PhD za kiafrika ni za Ku evaluate vitu vilivyoundwa na wenzao ulaya China,urusi,India nk.Mtanisamehe hill ndio jicho langu, hivyo ziwepo zisiwepo hazina impact.Prove me wrong!.
 
Back
Top Bottom