Je, kuna madhara yoyote kumfanyia squirting mjamzito?

Umemfundisha squirt.. Dah hongera kaka japo ya kwenye simu. Mi nilijaribu kumfundisha mama watoto akasema namuumiza kwenye kisima. Nikataka kukugusa gspot kwa vidole akasema hataki hiyo habari. Ehh wake zetu wa old school bwana.
 
Miezi saba huko na kuendelea hiyo mimaji itaanza kuwa na harufu mbaya sana na msipotoa godoro nje na kukitia manukato chumba sawasawa mnuko wake utakuwa kama vile kuna mzoga humo ndani. Wanasema harufu hiyo inatokana na ukweli kwamba after 7 months mahormone na maenzymes yanakuwa yamecharuka kweli kweli. Otherwise endeleeni tu hata akigonga 9 months ni sawa. Actually unaweza hata kuanzisha uchungu wa uzazi kwa njia hiyo ali mradi tu ujue tofauti ya maji ya uzazi na maji ya kuwa squirt.
 
Hivi ku squirt mtu anafundishwa au inakuwaga auto..!?

Mkuu naona na ww ni moja kati ya wale ambao wake zenu wamejua fantasy zenu na wameona watumie akili ili kuwafunga na kuwafanya mjae kiganjani.

Wee endelea tuu na kafantasy kako na mhimize aendelee kukutimizia mana kwa njia hio anakunywa maji mengi ili akojoe colorless urine na maji mengi ni mazuri kiafya na kusafisha njia mtoto asitoke na ushahidi kuwa mlikuwa mnatiana sana hadi kumchafua.
 
Umemfundisha squirt.. Dah hongera kaka japo ya kwenye simu. Mi nilijaribu kumfundisha mama watoto akasema namuumiza kwenye kisima. Nikataka kukugusa gspot kwa vidole akasema hataki hiyo habari. Ehh wake zetu wa old school bwana.
Ni kweli kwa mara ya kwanza wadada huwa wanasita na kusema wanaumia, ila kama utaongea naye kwa sana na akaelewa unaweza kutumia mlenda kama natural lubrication ni bora Zaidi kuliko mafuta ya viwandani.
 
Hivi ku squirt mtu anafundishwa au inakuwaga auto..!?.
Unaweza kumfundisha mwenza wako kama hajawahi kufahamu kuhusu uwezo wa kufikia hali hiyo. Lakini pia inaweza kuja auto lakini iwapi mwanamke hafahamu kuhusu hali hiyo atayabana maji yale yasitoke wakati wa kufanya mapenzi na mara baada ya kumaliza tendo atalazimika kwenda chooni kukojoa. Aidha, iwapo mwanamke atashindwa kujizuia na maji yakamwagika wakati wa kufanya mapenzi na ikawa mwanamume aliyekuwa naye hafahamu masuala ya squirting, mwanamume yule atahisi mwenza wake amejikojolea mkojo wa kawaida hali ambayo inaweza kumfanya kutopendezwa na hali hiyo na wakati mwingine kumlaumu mwenza wake hali ambayo inaweza kumpa fadhaa mwanamke huyo ni hivyo kumathiri kisaikolojia
 
Back
Top Bottom