Je kuna lugha bora kuliko nyingine?

Mkwaja

Kila lugha imezaa lugha mwenzie !!
KM:-
Kiswahili kimezaliwa from Arabic
Kiengereza from lingua franca Germany anglic
Kihindi from Urdhu
nk, nk
 
Last edited by a moderator:
  1. Lugha hutumika kama chombo cha mawasiliano kwa kupashiana habari.
  2. Lugha hutumika kujenga umoja, mshikamano na ushirikiano miongoni mwa wanajamii.
  3. Lugha hutumika kutunza, kukuza, na kuendeleza utamaduni wa jamii.
  4. Lugha hutumika katika kutetea maarifa mbalimbali (ni nyenzo ya kufundishia).
  5. Lugha hutumika kama alama ya utambulisho wa kabila/jamii au taifa fulani. (Lugha )
LUGHA YOYOTE INAYOFANYA HAYO NDIO BORA...
 
Tabia kubwa ya lugha yoyote ile ni ubora. Kila luhga ni bora, na hakuna lugha iliyobora kuliko nyingine duniani. Hivyo basi ubora wa lugha upo mionginoni mwa watumiaji wake na kukidhi mawasiliano.
 
Kila lugha imezaa lugha mwenzie !!
KM:-
Kiswahili kimezaliwa from Arabic
Kiengereza from lingua franca Germany anglic
Kihindi from Urdhu
nk, nk

Sikubaliani na wewe kuwa kiswahili kimetokana na kiarabu. Navyojua mimi kiswahili kimetokana na lugha za kibantu, isopokuwa lugha ya kiarabu imechangia baadhi tu ya misamiati na kama ilivyo lugha nyingine zilivyochangia misamiati (istilahi) katika lugha ya kiswahili. Na hali hii ni sifa ya lugha yoyote ile kukopa au kutoahoa misamiati (istilahi) kutoka lugha nyingine.
 
mmmh samahani !! hiyo nyimbo kaimbe huko kwa "......" !!
 
Sikubaliani na wewe kuwa kiswahili kimetokana na kiarabu. Navyojua mimi kiswahili kimetokana na lugha za kibantu, isopokuwa lugha ya kiarabu imechangia baadhi tu ya misamiati na kama ilivyo lugha nyingine zilivyochangia misamiati (istilahi) katika lugha ya kiswahili. Na hali hii ni sifa ya lugha yoyote ile kukopa au kutoahoa misamiati (istilahi) kutoka lugha nyingine.
Kweli usikubali na hata usiamini, Lakini nenda huko kwenye Baraza la kukuza kiswahili, nenda UDSM, huko utakuta vitabu na kamusi za kiaraabu japo hutokuta mwaarabu hata mmoja !! ndipo utakuta hao wataalamu wa lugha wanayo komba na kuchimbua mizizi ya kutafuta maneno yatakayo jalizia lugha hii ya kiswahili kichanga.
Kuhakikisha maneno yangu hayo yote uloaandika wewe ni kalimati na kauli ya lugha ya kiarabu adhimu !!

any comments?
 
Hapana hiyo ni nadharia moja tu kati ya nyingi inayojaribu. kuelezea asili ya lugha ya kiswahili na sio CHIMBUKO la lugha ya kiswahili hiyo ni kama zile nyingine zinazodai kuwa kiswahili ni kikongo,ama lugha ya vizalia, pijini, krioli, nk. Msimamo wangu ni kama nilivyosema awali, nikweli neno lenyewe kiswahilli nikweli limetokana na swahili la kiarabu lenye maana ya upwa wa pwani ya afrika mashariki. Lakini ikumbukwe kuwa lugha ni zaidi ya msamiati ama msamiati ni kitu kimoja tu katika lugha kuna suala la sarufi ambayo hujumuisha viwango vyote vya isimu ya lugha ambavyo ni semantiki(maana), sintsksia(muundo),fonolojia(matamshi), mofolojia(maumbo) na pragmatiki(matumizi ya lugha yenyewe). Vipengele vyote hivi viawiana sana katika lugha ya kiswahili na lugha za kibantu. For further study angalia vitabu vya somo la kiswahili vinavyoleza chimbuko la kiswahili, hata kile cha kidato cha tatu utapata ufafanuzi zaidi.
 
Heshima mbele Mkuu, almuhimu neno "lugha" ni neno la kiaarabu faswaha na neno "sarufi" na "isimu" na mengi ni maneno ya kiaarbu fasihi !! Sasa unavuuuuuta (streching) ya nini Mkuu huwezi kumkinaisha au kumlazimisha mtu kuwa kiaarabu hakikuzaa kiswahili !! kama unasisistiza ubantu basi ni asilimia nduchu sana mchango wake!!
Wapo wengi waliojaribu kuchakachua kiswahili ionekane ni ubantuisim!! lakini bado tunawacheka tu......!
 
Mkuu hiyo yote ni misamiati tu, mimi ninaona tufanye hivi; tufanye mdahalo mdogo kwenye uzi huu ili kila mmoja athibitishe CHIMBUKO LA KISWAHILI kwa kuzingatia isimu(sayansi) ya lugha ya kiswahili kwa kuzingatia mtazamo ulioshikiriwa na kila mmoja au unaonaje?
 
Muwafaqa !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom