Marahaba
Member
- Nov 23, 2010
- 33
- 1
Jamani mimi nilikuwa na rafiki yangu wa kike ,aliniacha kwa mara ya kwanza kwa madai kuwa nina tabia ya mfumo dume! hizi zilikuwa hazimridhishi katika mahusiano mpaka akafika hatua ya kumpata mshikaji mmoja, huyo naye hawakudumu wakakaa kama miezi 5 tu wakaachana ,baada ya hapo akampata mshikaji mwingine ,huyo naye akakaa naye kama miezi 7 tu wakaachana,baada ya haya yote akarudi kwangu kuwa nimsamehe kwa yote yaliyotokea na tukae kama mwanzo, mi nikamwambia tabia zangu hazijabadilika zilizokufanya uniache sasa utazivumilia?, akasema ataweza, kweli nikampokea kama 2nd chance , lakini cha ajabu tumekaa miezi 4 tu akasepa kwani sikubadili zile tabia, kwa maana nyingine nilikuwa nampima kama alichokisema ni cha kweli,Jamani wadau mtu kama huyu mnadhani anaweza kuwa na 3rd chance tena katika mahusiano?