Aina hii ya wanawake ni kero katika mahusiano

Chimbekeha

JF-Expert Member
Dec 1, 2018
1,193
2,164
Habari, karibuni katika mada.

Kuna mdada niko naye katika mahusiano ya kimapenzi ila kwa sasa tuko sehemu tofauti katika harakati za kutafuta ridhiki. Kinachonikwaza ni kwamba ana tabia ambayo ni ngumu kuvumilika kwa kweli, kila siku ziendazo kwa Mungu ikifika usiku tu mfano ile saa 2 usiku imetimia, lazima akutext, call, whatsapp call video ili mradi vurugu na hakuachi mpaka ajiridhishe uko mwenyewe ndiyo atalala kwa amani.

Tofauti na hapo siku ukisema leo namute hizo sms, calls zitafika hata 400 na lawama juu.

Mwisho, kama unampenda sana dear wako kiasi cha kukaa mbali naye huwezi, mfate na siyo kusumbuana huu sasa ni utoto.
 
1 . Ukimuoa hato kutext Yan utamiss text zake
2. Kama kweli unampenda basi akifa Leo hii utakuwa unasoma text zake kama kubwa jinga Huku unalia
3. Mfano akikuacha mda huu na unampenda utamiss text zake unataman hata akosee kutext
4. Akiwa na mazungumzo matamu utakuwa unasoma text na kufurah Huku ukibusu hizo text kwenye simu yako
5. Mfano Tena ukimwacha ukapata mwanamke ambaye hatumi message Wala kutext utakuja kutuletea Uzi Tena kwa sababu huyu mwanamke wako wa sasa kashakufanya mlemavu wa text na calls
6. Ikifika saa mbili usiku unaweza jikuta hata kama ulilala unashtuka teyari kashakuweza. Kakuaribia usingiz na ndoto zako

Mwisho wa siku hivi vitu vinavyokuumiza akili jifunze kupoteza kwani hujui ukipenda boga penda na majani yake😊 Mpigie mpenzi wako mwambie unampenda sana na kesho ukimwona utampiga busu ushachoka kubusu sms zake. .
 
Bora huyo wako man.
Yaani huyu dem wangu haongei.
Hapigi sim,hata umpigishe stor yeye anaitikia tuu sawa..
Ukimuita sehem yoyote muda wowote anakuja hakatai.
Hafanyi kitu hadi umwambie fanya hivi.
Yaani ananitisha kwakwweli.

Halafu ni dada mzuri huwez kuamini na jinsi anavyokuwa mpole.
 
Mademu wa Tz wapo hivyo hawana Kabisa akili ndo maana Mimi niliamua kumiliki. Demu kutoka visiwa vya comoro

Tafuta demu kutoka nje uta enjoy ligi ndogo waachie watoto
Labda unipe connection mkuu lasivyo nitafeli sana maana kutoka ndani ya nchi inaweza kuchukua Muongo 1.
 
Bora huyo wako man.
Yaani huyu dem wangu haongei.
Hapigi sim,hata umpigishe stor yeye anaitikia tuu sawa..
Ukimuita sehem yoyote muda wowote anakuja hakatai.
Hafanyi kitu hadi umwambie fanya hivi.
Yaani ananitisha kwakwweli.

Halafu ni dada mzuri huwez kuamini na jinsi anavyokuwa mpole.
Duuh kweli wanawake wako katika CATOGORIES kama zile za BET awards
 
1 . Ukimuoa hato kutext Yan utamiss text zake
2. Kama kweli unampenda basi akifa Leo hii utakuwa unasoma text zake kama kubwa jinga Huku unalia
3. Mfano akikuacha mda huu na unampenda utamiss text zake unataman hata akosee kutext
4. Akiwa na mazungumzo matamu utakuwa unasoma text na kufurah Huku ukibusu hizo text kwenye simu yako
5. Mfano Tena ukimwacha ukapata mwanamke ambaye hatumi message Wala kutext utakuja kutuletea Uzi Tena kwa sababu huyu mwanamke wako wa sasa kashakufanya mlemavu wa text na calls
6. Ikifika saa mbili usiku unaweza jikuta hata kama ulilala unashtuka teyari kashakuweza. Kakuaribia usingiz na ndoto zako

Mwisho wa siku hivi vitu vinavyokuumiza akili jifunze kupoteza kwani hujui ukipenda boga penda na majani yake😊 Mpigie mpenzi wako mwambie unampenda sana na kesho ukimwona utampiga busu ushachoka kubusu sms zake. .
Wewe niliwahi kua na mtu wa hivyo aisee ni keeeeeero, sio kawaida hio ni kero kero kero mpaka niliwahi kumuuliza hivi mbon km umenifunga minyororo yaan sina uhuru wangu binafsi, yeye kaniganda km ruba all the time haitakiwi kua hivyo
 
Mie nikipata mtu wa hivi nitafutahi sana kwa sababu mda wake wa thamani anapenda kuwa na Mimi. Na kingine anaacha mambo yake ya maana Ili azumgumze na Mimi.

Aisee mpe number zangu basi huyo dada. .

😂😂😂 Yaan nikupe namba zako alafu namba zako si unazo mwenyewe
 
Habari, karibuni katika mada.

Kuna mdada niko naye katika mahusiano ya kimapenzi ila kwa sasa tuko sehemu tofauti katika harakati za kutafuta ridhiki. Kinachonikwaza ni kwamba ana tabia ambayo ni ngumu kuvumilika kwa kweli, kila siku ziendazo kwa Mungu ikifika usiku tu mfano ile saa 2 usiku imetimia, lazima akutext, call, whatsapp call video ili mradi vurugu na hakuachi mpaka ajiridhishe uko mwenyewe ndiyo atalala kwa amani.

Tofauti na hapo siku ukisema leo namute hizo sms, calls zitafika hata 400 na lawama juu.

Mwisho, kama unampenda sana dear wako kiasi cha kukaa mbali naye huwezi, mfate na siyo kusumbuana huu sasa ni utoto.
Huyo demu kakupenda usiuzime moto wake wa upendo kwako.

Wengine tukiona meseji au simu ujue ni kizinga

Mwanamke akikupenda anataka ajihakikishie yuko peke yake na anataka kukulinda usije ukazama kwenye penzi la mwingine ndio maana unaona kama anakusumbua kwa meseji, simu au video call

Mwanamke akikupenda anataka uwe karibu naye, anahitaji sana kampani ya mpenzi wake

Kibiolojia wanawake wameumbwa wakiwa na asili ya kupenda kusikilizwa, mpe muda wako msikilize hisia zake cheka naye tanianeni, mpe ushauri, penda sana kumuuliza maswali ya kirafiki ambayo yatamfanya aeleze hisia zake. Kwa mfano Vipi mpenzi leo siku imeendaje? Umefurahia nini siku ya leo?

Halafu mbona mrembo ni mstaarabu sana anakuacha ufanye shughuli zako zote ila saa mbili usiku anahitaji kampani yako. Ukizingua utamkumbuka
 
😂😂Analinda penzi lake.
Tena kama hupendi kuongea ongea kwa simu. Muda mwingine anakupigia au kukutexg weekend hii unakula vyombo. Ni kama usumbufu.
 
Back
Top Bottom