Je, kissing (denda) ni jambo la asili au ni ubunifu wa kibinadamu?

Denda ni kitu cha kiasili kwenye suala la mapenzi, inatuqia ngumu kujua cha asili kwasababu tunakisikia na kukiona kabla tuja pevuka na kukifanya So tukija kukifanya tunaona kama just tumeiga ila si kweli.

Njia ya kujua ni asili kaa na mwanamke wako au uliye na hisia nae kwenye faragha tu msogeleane uso utaona MVUTANO WA USUMAKU wakifanya hiko kitu, kuna vitu vingi vya kiasiri kwenye tendo ambavyo tuja vi unlock tu.

Talking kuwa kitu cha kiasili hakifundishwi sio kweli maana kutembea tumefunzwa, kuongea nk

Naamini hata mtu ashushwe tu leo akafanya kitendo atajua pakuingiza na akifanya mara kadhaa atapiga denda bila kuwai kuona
Mkuu kutembea ni jambo la asili hata usipofundishwa utatembea tu, kutoa sauti ni jambo la asili, utakacho fundishwa ni namna ya kuitumia sauti kuunda maneno

Una hakika mababu zako 10 huko nyuma walikua wana kiss mkuu?
 
Mzee nature sio mababu, nature ipo kabla mababu who is mababu
 
Back
Top Bottom