Je Kipoozeo ni tiba ya kero katika ndoa au mahusiano?

...Hebu nielimisheni,

kwanini 'Unadhani' ukitembea nje ya mahusiano yako na mchumba wako/ndoa yako, itakuliwaza?

Kwanini usifikirie njia nyingine mbadala za kujiliwaza, unafikiria katika njia zoooote (unazozijua), ukila/ukiliwa uroda nje ndio utakuwa umemkomoa mwenza wako (hata asipojua) ?

na kwanini uwaze hilo, kwanini?
 
Kwanini usifikirie njia nyingine mbadala za kujiliwaza, unafikiria katika njia zoooote (unazozijua), ukila/ukiliwa uroda nje ndio utakuwa umemkomoa mwenza wako (hata asipojua)

because of the HUMAN THINKING ATTITUDE OF MIND!ningependa kulielezea kwa kina sana,lakini nitaboa!

just a summary for you guys ni kwamba A HUMAN BRAIN IS SEX-MINDED!na katika mahusiano theory inaappply in the same way.mwenzi wako anaamin akigawa nje,au akitoa nje LAZIMA ITAKUPAIN!HATA KAMA UTAKUWA NANI DUNIANI!WHICH IS TRUE!ndo maana hata wewe mbu unauliza ''hivi ni kwanin''

hahahahah!CHEERS BRO
 
...ha ha haaaa...

Geoff unaniacha hoi sasa! mwenzio nimekuwa 'brain-washed' mtu akiniadhibu kimapenzi, nimshtakie tu kwa Mwenyezi mungu mambo yatasawazika.

Poleni mnaodhani 'ngono' inaliwaza :D:D:D
 
kwa mungu nako POA TU!lakini mi nadhani malizana nao hapahapa chini ya jua
 
aaah, yanini bana.

bora huko huko kwa 'minister of justice' -mbinguni, maana ni kama unakata insurance tu. Siku ya siku unajikuta unafaidika nayo, la sivyo hasara si ajabu unaporudisha namba unakuwa incarnated kuwa mbu.

Tatizo nilionalo kwa wengi wanaojilipa, hawaishii kwa ngono tu, wataendeleza na 'Tigo'! madhara yake magonjwa ya zinaa, kufumaniwa, kuzalishana bila kutarajia na kuletesha ugomvi wa mirathi, ...balaa tupu.
 
...Hebu nielimisheni,

kwanini 'Unadhani' ukitembea nje ya mahusiano yako na mchumba wako/ndoa yako, itakuliwaza?

Kwanini usifikirie njia nyingine mbadala za kujiliwaza, unafikiria katika njia zoooote (unazozijua), ukila/ukiliwa uroda nje ndio utakuwa umemkomoa mwenza wako (hata asipojua) ?

na kwanini uwaze hilo, kwanini?

Mambo dear,

mimi nadhani inategemea ni nini hasa kilichomfanya huyo mke/mme kwenda njee ya ndoa yake kujiliwaza. Nikuulize unakuta mmoja wenu pengine hana mda na mwenzake, no care, no romance etc...sasa hapa mtu ategemee huyo mtendwa aende wapi zaidi kama sio huko huko njee. Mimi naona cha msingi ni watu kukaa chini na kuelewana kwa uwazi na upendo hapo ndipo imani ya mtu kutotoka njee itafanikiwa. Otherwise itakuwa mwaga ugali nimwage mboga.
 
Hapo umenena dada......
 
Hivi kwanini mbu umeuliza swali kama hilo,it seems kama we ni muathirika wa unachozungumzia,but dont react, coz only fools reacts!!!One love....
 
Penny! umeadimika au sijui ni mimi tu sikusomi sana humu siku hizi. Nikirejea katika mada, ...ndio kusema huko nje kuna muda, care, na romance za 'kiukweli?' Kama ni hivyo, mbona wengi wakishafumwa (za mwizi 40) huomba msamaha na kuapa kutorudia tena hizo 'zimamoto'?

...:D, mchajikobe 'naona' ume react ki ukweli ukweli, kulikoni? yap, nilishaathirika kwa hilo, nikiona upupu naukimbia tena kwa mbaaaali!
 
hahah naona yeye ameriact halafu akakupiga stop usireact lol
 
Back
Top Bottom