Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 15,783
- 24,213
Salaam Wana JF 5
Kwa mwaka huu tumeshuhudia mpira wa Africa ukiendelea ku shine kwa ukubwa sana kiasi kwamba kuvuta attention kubwa Duniani, especially Baada ya kuanzishwa kwa Africa Super League.
Je, kati ya Simba na Yanga nani ni giant wa level za zile timu kubwa Africa? Simba yupo miongoni wa timu 8 zilizoitwa Super League, lakini hakuna point hata moja aliyovuna (alikuwa msindikizaji).
Yanga kwa mafanikio yake now yupo miongoni mwa 5 giants wanaowania Tuzo ya Timu Bora Africa; Al Ahly, Mamelodi, Wydad, USM Alger na Yanga.
NB: Kati ya Simba na Yanga nani anafaa kukaa meza moja na hawa vibopa wa soka?