Normally men are open, so when they cheat, they sometimes find themselves telling other people about their movements....! But, women are very careful of what they did in the dark... they normally even die with their secrecy....! ni wasiri wa ajabu....! So, balance the equation...!Inaonyesha kuwa asilimia kubwa ya wavulana siyo waaminifu katika swala zima la mausiano ya kimapenzi kwa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja je ni kweli?
How did you come to this conclusion?</p>
<p> </p>
<p>Your 1st. thread in JF reminds me of :garbage in, garbage out........!
Hapo kwenye red ama kweli "kila muwamba ngoma ngozi huvutia kwake". Kila ngono inayofanyika lazima ihusishe mwanamke na mwanamme inakuwaje wanaume wawe sio waaminifu zaidi ?Inaonyesha kuwa asilimia kubwa ya wavulana siyo waaminifu katika swala zima la mausiano ya kimapenzi kwa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja je ni kweli?
nirarudi badae, maana naweza coment alafu nika nanihii...:ban:
Normally men are open, so when they cheat, they sometimes find themselves telling other people about their movements....! But, women are very careful of what they did in the dark... they normally even die with their secrecy....! ni wasiri wa ajabu....! So, balance the equation...!