je kati ya mvulana na msichana yupi ambaye si waaminifu katika swala zima la mausiano?

88 girl

New Member
May 27, 2011
3
1
Inaonyesha kuwa asilimia kubwa ya wavulana siyo waaminifu katika swala zima la mausiano ya kimapenzi kwa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja je ni kweli?
 
Ina tegemea bibie, sababu siku hizi wanawake nao wamechachamaa.nawafahamu wanawake kama wanne wameolewa na wana ma BF wao. ukiwauliza wanasema wamechoka kuhesabu mabati waume wao wanawacheat, wanachelewa kurudi, hata wakiwepo hawafanyi mapenzi nao, ku do mpaka bday jamani, ndoa hizi? mie sidhani kama nina uvumilivu huo
 
How did you come to this conclusion?

Your 1st. thread in JF reminds me of :garbage in, garbage out........!
 
Inaonyesha kuwa asilimia kubwa ya wavulana siyo waaminifu katika swala zima la mausiano ya kimapenzi kwa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja je ni kweli?
Normally men are open, so when they cheat, they sometimes find themselves telling other people about their movements....! But, women are very careful of what they did in the dark... they normally even die with their secrecy....! ni wasiri wa ajabu....! So, balance the equation...!
 
hiyo asilimia kubwa ya wavulana wasio waaminifu ni asilimia ngapiii.......maana isije ikawa unazungumzia watu wachache halafu unatuambia asilimia kubwa
 
kwani thread ya kwanza ilipaswa kuwa ya siasa ama kutafuta mchumba?

How did you come to this conclusion?</p>
<p>&nbsp;</p>
<p>Your 1st. thread in JF reminds me of :garbage in, garbage out........!
 
nirarudi badae, maana naweza coment alafu nika nanihii...:ban:
 
Inaonyesha kuwa asilimia kubwa ya wavulana siyo waaminifu katika swala zima la mausiano ya kimapenzi kwa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja je ni kweli?
Hapo kwenye red ama kweli "kila muwamba ngoma ngozi huvutia kwake". Kila ngono inayofanyika lazima ihusishe mwanamke na mwanamme inakuwaje wanaume wawe sio waaminifu zaidi ?
 
we unauliza swali af unajijibu mwenyewe hapohapo?
ushatendwa na wanaume wangapi mpaka sasa?
mapenz ya kisasa hayana mwanamke wala mwanaume, wote tunatumiana tu kwa faida zetu binafsi..
i use u, u use me and we use eachother.
 
Tukiwa wakweli...wanaume sisi tumezidi kwa chovya chovya..wadada hata akicheat hawezi kuwa na wanaume wengi mimi nina watu rafiki zangu wananiambia wamelala na wanawake 100 tangu ameanza kudo...sasa mwanamke hawezi kufika hapo labda wale kahaba...
 
kiukwel inategemea wote wanaweza wasiwe waaminifu na wote wanaweza wakawa waaminifu na mmoja kat yao anaweza akawa mwaminifu. Hvyo uaminifu inategemeana na tabia ya mtu na sio jinsia gan ni bora au zaid ya mwingine sawa wanawane
 
Inategemea na mtu bibie. kucheat ni tabia ni hulka ya mtu haijalishi ni he or she
 
nirarudi badae, maana naweza coment alafu nika nanihii...:ban:

wasichana wanaongoza,afu wakikamatwa wana jiliza liza
avatar36810_6.gif
 
Normally men are open, so when they cheat, they sometimes find themselves telling other people about their movements....! But, women are very careful of what they did in the dark... they normally even die with their secrecy....! ni wasiri wa ajabu....! So, balance the equation...!

Wanawake ni wabaya sana kwa cheating, mie na experience nao wa kila aina. Kuna mmoja nilikuwa namtafuna kumbe ana Bf wake, akaja kuniambia alipoona shaft yangu imemkolea sasa akataka kuganda. They are GOOD LIARS DON'T EVEN TRUST THEM.

kanyaga kwenda mbele tu hakuna mwaminifu siku hizi hata utafute vp.

Roho yako itakonda kwa kumtafuta mwaminifu i tell u? You will die look for someone whom u can trust!
Si wanaume na si wanawake woooote kwa ujumla ni UZAO ULIO LAANIWA!

ww ukioa leo jua umeolea na jirani na marafiki zako na demu akiolewa anakuwa kiburi akijua sasa hata akigidwa nje ww ni ngumu kubaini kwa kuwa unamwamini km mke tena umempenda.

UKITAKA UTIRIRIKE MACHOZI cheza na KIUMBE MWANAMKE AISEE! UTALIA KILIO CHA MBWA MDOMO JUUU.

" kuna mnageria mmoja aliwahi niambia>, WOMEN ARE FOR VISUAL EXCITEMENT! which is true.

HAWA NI PASUA VICHWA
 
No body is trustworth nowdays, nina uhakika most of girls/women and boys/men are moral corrupts, hawajui kupenda na hawajui maana ya kupendwa. Wote hovyo hakuna msafi hapo!
 
Kila mtu ana njaa ya kupendwa!Unategemea mpenzi wako akupende kwani huko ulikotoka hujapendwa,kumbe nae yuko hivyo hivyo matokeo yake lawama milioni kwa kila mmoja.Jipende kwanza halafu jifunze kuwapenda wenzio!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom