Je, JK atatufikisha 2015?

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
910
668
Nina mashaka sana endapo JK atatufikisha 2015,changamoto za serikali na chama zinazomkabili na swala la wananchi kukosa imani naye baadhi ya mambo ambayo ni changamoto kubwa kwake,serikali kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara,migomo,miradi ya serikali kama barabara na huduma za jamii kuzorota,je tutafika?

Je ni kweli kuwa TRA hawakusanyi mapato? Au serikali yetu imekuwa ya kufanya shopping zaidi?

Nawasilisha
 
Mashaka:Atakufa,atapinduliwa(na nani?)au unamaanisha nini mkuu?Fafanua.Serikali mapato inakusanya na kuhusu shopping no comment.
 
Kufika tutafika bt tumechoka na hatutajitambua! Badala ya kuanza kuasabu miaka 50 kwenda mbele, tutaanza kuesabu kuanzia 0 kuitafuta 50 nyingine. MY PRESIDENT IS HANDSOME!
 
All I can say nikwamba Mwalimu Nyerere knew better aliposema kuwa JK bado, he was telling us in a diplomatic way that he is not strong for the presidents seat!
 
Kikwete kama ataendelea kuchakachua [ kama alivyoanza na kutia saini muswada wa katiba mpya] haki za kidemokrasia za wananchi kufika 2015 itakuwa bahati sana kwasababu nchi yeyote ile kama haina demokrasia ya kweli haiwezi kuwa na STABILITY!!!
 
All I can say nikwamba Mwalimu Nyerere knew better aliposema kuwa JK bado, he was telling us in a diplomatic way that he is not strong for the presidents seat!

Siko mkiacha ujinga wa nyerere mkakua mkawa na akili zenu pekee, mkatembea na mawazo (ideas) zenu nchi itaendelea

Kila kitu nyerere nyerere my foot!
 
Tatizo kubwa ni kuwa wakatolliki hawamtaki Kikwete kwa sababu amewakosesha kula yao, hii ndio sababu ya migomo na maandamano yote yanayotokea nchini. Hizi ni njama za kanisa Katoliki ambazo zimeshagundulika.
 
kweli tutakoma, mpaka 2005, alafu huyooooooooooooooooooo anajiachia, anatuachia bongo trans ipo juu ya mawe:smash:
 
Tatizo kubwa ni kuwa wakatolliki hawamtaki Kikwete kwa sababu amewakosesha kula yao, hii ndio sababu ya migomo na maandamano yote yanayotokea nchini. Hizi ni njama za kanisa Katoliki ambazo zimeshagundulika.

Acha kuwasingizia wakatoliki wanaojenga shule na mahospitali yanayowasetili watanzania maskini; Kikwete hawezi kuwakosesha kula wakatoliki kwani ni matajili wa kutupa; tatizo lipo kwa Kikwete mwenyewe kushindwa kuongoza nchi kwa sababu ya kuwakumbatia mafisadi na nyie vibaraka wake mnataka kuspin kuwa anachukiwa kwa sababu ya uislam wake na sio uzembe wake!! Semeni kweli na dini yenu itawafumbua macho kwani shida na mateso yenu yanatokana na kushindwa kutawala kwa Kikwete..
 
kikwete na serikali yake yuko imara na 2o15 tutafika salama kabisa.hayo unayoyasema ni chuki,majungu na uchochezi
 
Tatizo kubwa ni kuwa wakatolliki hawamtaki Kikwete kwa sababu amewakosesha kula yao, hii ndio sababu ya migomo na maandamano yote yanayotokea nchini. Hizi ni njama za kanisa Katoliki ambazo zimeshagundulika.

Kwa mawazo yako wewe unaona hivyo! Ni haki yako tu ila usitulazimishe kukukubali
 
Nyerere alichosema kilikua rahis tu, hasa kwa wanasiasa ambao lugha yao sio ya kijeshi "Alisema Kikwete hawezi kuongoza hii nchi, anahitaji ukomavu wa kisiasa ambao alibashiri, kama binadamu wa kawaida mwenye uwezo wa kujifunza atakua nao baada ya miaka kumi" Sina ushaidi kama ukomavu huo aliupata ila ata kama aliupata, uchu/nguvu nyingi zlizotumia kufika/kukimbilia ikulu na uswahili wa "kula Bwana"kwa asilimia kubwa ndio unaomcost adi sasa hivi.......
 
All I can say nikwamba Mwalimu Nyerere knew better aliposema kuwa JK bado, he was telling us in a diplomatic way that he is not strong for the presidents seat!

Nyerere alichosema kilikua rahis tu, hasa kwa wanasiasa ambao lugha yao sio ya kijeshi "Alisema Kikwete hawezi kuongoza hii nchi, anahitaji ukomavu wa kisiasa ambao alibashiri, kama binadamu wa kawaida mwenye uwezo wa kujifunza atakua nao baada ya miaka kumi" Sina ushaidi kama ukomavu huo aliupata ila ata kama aliupata, uchu/nguvu nyingi zlizotumia kufika/kukimbilia ikulu na uswahili wa "kula Bwana"kwa asilimia kubwa ndio unaomcost adi sasa hivi.......
 
Tatizo kubwa ni kuwa wakatolliki hawamtaki Kikwete kwa sababu amewakosesha kula yao, hii ndio sababu ya migomo na maandamano yote yanayotokea nchini. Hizi ni njama za kanisa Katoliki ambazo zimeshagundulika.
Utakuwa umetokea kwenye bangi wewe. Sidhani kama akili yako ina ushirikiano na ubongo wako.
 
awa jamaa anaweza akajichafua alafu akamwachia yule rafki ake wa monduli kabla miaka mitano haijaisha...simply kwa sababu ndo mtu pekee anaeweza ama kumlipua ama kumlinda...asipompa wamelipuka wote, akimpa anauwezekano wa kufunikiwa. Uamuzi wa pili ni bora zaidi kimaslahi
 
Tatizo kubwa ni kuwa wakatolliki hawamtaki Kikwete kwa sababu amewakosesha kula yao, hii ndio sababu ya migomo na maandamano yote yanayotokea nchini. Hizi ni njama za kanisa Katoliki ambazo zimeshagundulika.

Inasikitisha sana mwana Jf anayedhaniwa kuwa "Great Thinker" anapohusisha "ulege lege wa ki-uongozi" wa JK ulio wazi kabisa,unapokosolewa na swala la dini fulani!
 
Back
Top Bottom