Je, inawezekana Jakaya Kikwete ndiye Nyerere wa leo?

THE BOILER ROOM

JF-Expert Member
Sep 17, 2018
1,054
3,210
Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.

Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake.

Je, inawezekana yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).
 
Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science!Pia si mkerekweta kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani!.
Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kumuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake je yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).
Kuna ukweli kwenye hilo mkuu!

Japo hatujui kama deep state ina baraka zote kwenye hilo kutokea au wameruhusu KWA muda tu litokee;!

Japo mambo yaweza badilika huko tuendako kutokana na upepo unavovuma!! HADI 2025 kwenye UCHAGUZI mkuu kama utakuwepo tunaweza tukasema vinginevyo!

Yote kheri

Mungu ibariki TANZANIA nchi yetu!
 
Unalinganisha Nyerere na jk wewe kweli barvicha

USSR
Hapana mkuu mimi sio bavicha! Huu ni mtazamo wangu huru!Pia nakuheshimu sana kwa unguli wako kwny jukwaa la siasa either post yako iwe hasi au chanya! Ndivyo demokrasia inavyotaka!Mwalimu na JK wamelitumikia Taifa hili kwa nyakati tofauti!Ndo maana nimetumia neno this era si kwamba nimeshusha hadhi ya Baba wa Taifa.
 
Never and Never can you equate JK to Father of our nation JKN.

JK ni JK kihivyo tu na kivyake vyake
Sijajaribu kbs wa equate wazee wangu hawa wawili yawezekana ni watu wenye mitazamo miwili tofauti wakishabihiana kwenye maeneo machache sana nilichokitazama hapo ni legacy na nguvu ya ushawishi pamoja na ku-master political game yao kwa namna ya kipekee na kwa muda mrefu.
 
Bandiko langu halipo kwa ajili ya kudhihaki mchango wa viongozi wetu wakubwa waliowahi kuhudumu kwny nchi hii!Kiongozi yoyote aliyewahi kuongoza Taifa lolote duniani ana mazuri na mabaya yake mzani ndo utakaoamua kati ya mabaya yake na mazuri yake!Tafadhali usidhihaki.
 
Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.

Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake.

Je, inawezekana yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).

Vijana wa 2000 mnamatatzo kha! Msome NYERERE huko kwenye mitandao afu ndo ulete habari za kulinganisha watu!
 
Vijana wa 2000 mnamatatzo kha! Msome NYERERE huko kwenye mitandao afu ndo ulete habari za kulinganisha watu!
Inawezekana nyie ndo wale wale wa leo mnaoshindwa kutanguliza busara nikwambie tu kwa kifupi, mimi ni kijana wa makamo ninayejitambua niliyezaliwa mwaka 1981.
 
Sijajaribu kbs wa equate wazee wangu hawa wawili yawezekana ni watu wenye mitazamo miwili tofauti wakishabihiana kwenye maeneo machache sana nilichokitazama hapo ni legacy na nguvu ya ushawishi pamoja na ku-master political game yao kwa namna ya kipekee na kwa muda mrefu.
Angekuwa kama Nyerere, basi asingeruhusu yule mwendawazimu wa Chato ANAJISI Ikulu yetu. Huo mtihani wa kwanza anapata ZERO kwa kumfanya Magufuli mgombea kisha Rais wa Tanzania
 
Back
Top Bottom