The great man2
Member
- Jul 20, 2014
- 60
- 9
Hakika hizi dharau za ccm tufike mahal tuzikatae huyu mama kama alishindwa kuwapatia wananchi katiba waliyoitaka na badala wake wakawa wanapitisha masuala kwa masilai yao na chama chao na kwa mbwembwe bila kujal masilai ya taifa hakika hatotufaa ata kwenye nafasi hii ya umakam wa rais, hivyo nahitimisha kwa kusema ccm hawafai kabisa kila mwananchi ana haki ya kuwahukumu kwa dharau zao,ufisadi wao,uongo wao,ubinafsi wao n.k mwisho wao iwe oktoba 25.