Je, huwo ni umbumbu au husomi?

nkyandwale

Member
Feb 8, 2011
64
14
Katika kuwasikiliza wasemaji na wazungumzaji wa lugha na vilugha nashindwa kubaini ni lugha ipi siye Watanzaniya tunaimudu vema? Si wanataaluma, watu wa kawaida, na hata wanazuoni huchanganya ndimi. Je, kati ya lugha za Jamii, Kiswahili na Kiingereza tunaimudu vizuri lugha gani? Huwo ni umbumbu au usomi? :argue: Kwanini kama wewe, ni mlumbi wa lugha usitumiye lugha moja kwa muktadha maalum ! Nifahamishe.
 
Wasalimie Pemba na Dungwi!
 
hata kisw pia baadhi yetu chatusumbua,tumekuwa ka wakenya hapana sungumsa swahili huku kiingereza chenyewe cha kimasai,tujivunie lugha yetu:hand:
 
Katika kuwasikiliza wasemaji na wazungumzaji wa lugha na vilugha nashindwa kubaini ni lugha ipi siye Watanzaniya tunaimudu vema? Si wanataaluma, watu wa kawaida, na hata wanazuoni huchanganya ndimi. Je, kati ya lugha za Jamii, Kiswahili na Kiingereza tunaimudu vizuri lugha gani? Huwo ni umbumbu au usomi? :argue: Kwanini kama wewe, ni mlumbi wa lugha usitumiye lugha moja kwa muktadha maalum ! Nifahamishe.

Wewe mwenyewe kiswazi kinakugonga best.
 
Hakuna lugha duniani isiyochanganya lugha au maneno ya lugha nyingine wanao changanya wako sahihi tu.....mfano skuli kule visiwani,shule huku bara n.k na kwa lugha ya kiingereza kama yeah ni neno la kijerumani na mengine mengi.

Halafu kama hujui kabisaa lugha sio usomi na usomi unakuja pale unapoamua kuisoma ile lugha na hapa ni akili kwamba kiingereza ndiyo lugha pekee ya kisomi je wachina, wajerumani,wajapani,wakorea na hata wamasai ok ngoja nimix kidogo shauri ya foo veve usiye manyite ...hapo ni kiswahili,kiingereza na kibantu na kikubwa je,ninayezungumza nae ananielewa?
 
Katika kuwasikiliza wasemaji na wazungumzaji wa lugha na vilugha nashindwa kubaini ni lugha ipi siye Watanzaniya tunaimudu vema? Si wanataaluma, watu wa kawaida, na hata wanazuoni huchanganya ndimi. Je, kati ya lugha za Jamii, Kiswahili na Kiingereza tunaimudu vizuri lugha gani? Huwo ni umbumbu au usomi? :argue: Kwanini kama wewe, ni mlumbi wa lugha usitumiye lugha moja kwa muktadha maalum ! Nifahamishe.

Tuanze na wewe!
 
Title ya thread yako yenyewe ni ya kimbumbumbu....nakurekebishia ''JE HUO NI UMBUMBUMBU AU USOMI?''
 
mimi naweza sheng - mchanganyo wa kiswahili, kilugha na kiingereza kidogo. maana kwa ufasaha najua kilugha tu, inabidi nichanganye msiojua lugha yangu ya asili mnielewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom