Je huko kwenu mlikuwa mnaziitaje hizi video za Ngono

Sintokaa nisahau siku nimeazima kanda la pilau kwa mwanangu mmoja nikaja kuicheki homeboi! Balaa likaanza ile kanda si ikaizingua deki ikawa imenasa! Ukibonyeza Eject mzigo auchomoki!

Sitasahau siku hio nilipogeuka fundi deki ghafla bila kupenda, maana jioni washua walikuwa wanakuja kuangalia kanda ya graduation ya sista!
ha ha ha yalinikuta hayo nilifumwa na mzee wangu saa nane usiku naangalia porno
 
Hahaha aisee kuna moment zinafurahisha sana maishani. Mzee baba alichukua uamuzi gani baada ya kuona video inaonesha keke?
nilikula bakora nikaulizwa nilikozitoa nikasema,studio ya jirani nilikodisha sitasahau nilikua form two,chumba cha mzee master nilikuwa napenda kuangalia sebuleni kwa raha zangu dah nimeangalia sana ila siku aliibuka saa nane cjui ilikuwaje
 
Sisi boarding Musoma Technical tulikuwa tunatoroka usiku kwenda Baruti kuangalia Kikao. Ulipokuwa unasikia twende kwenye Kikao ujue tunaenda kwa Bry kucheki Porno
 
Sintokaa nisahau siku nimeazima kanda la pilau kwa mwanangu mmoja nikaja kuicheki homeboi! Balaa likaanza ile kanda si ikaizingua deki ikawa imenasa! Ukibonyeza Eject mzigo auchomoki!

Sitasahau siku hio nilipogeuka fundi deki ghafla bila kupenda, maana jioni washua walikuwa wanakuja kuangalia kanda ya graduation ya sista!
 
Sintokaa nisahau siku nimeazima kanda la pilau kwa mwanangu mmoja nikaja kuicheki homeboi! Balaa likaanza ile kanda si ikaizingua deki ikawa imenasa! Ukibonyeza Eject mzigo auchomoki!

Sitasahau siku hio nilipogeuka fundi deki ghafla bila kupenda, maana jioni washua walikuwa wanakuja kuangalia kanda ya graduation ya sista!
 
Sisi boarding Musoma Technical tulikuwa tunatoroka usiku kwenda Baruti kuangalia Kikao. Ulipokuwa unasikia twende kwenye Kikao ujue tunaenda kwa Bry kucheki Porno
Mkirudi ni mwendo wa kumaliza sabuni tu kule kwenye mabwawa ya MUTEX sio?

Back
Top Bottom