Je hii ni sawa?

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Unakuta mtu (mwanamume) na mke wake ni waumini wazuri tu wa dini tuzifaamuzo zilizopo hapa kwetu TZ. Mke anafanya kazi na mume vivyo hivyo ni mfanyakzi (waajiriwa). Unatoka kazini (mume) na kawaida yako hukutana na marafiki na kubadilishana mawazo na kupumzika kwa kupata kasoda na kisha kurejea nyumbani na kukaa na familia yako! Ghafla Mtumishi (Kiongozi wa dini) anakupigia simu anahitaji kuonana na wewe (mume) na pia yupo tayari nyumbani kwako na anakuambia nataka kukuona kukusalimu tu na fika anajua unatoka kazini na hakukupigia mapema kwamba muonane........ hii mimi kwangu naiona haiko sahihi maana kwanza hukutoa taarifa mapema, pili umeshafika na upo nyumbani kwa muumini ndipo unapiga simu..., mie naona kuna walakini hapa au Wandugu Mwaonaje hii??????

:crazy::crazy::noidea::noidea::noidea::noidea:
 
mmh ni uzungu zaidi?

wivu zaidi?
wasi wasi zaidi au kutomwamini mkeo na mchungaji?
we r AFRICANS NO PBM APO.
bt if ur the man of princple y dont u ask hm y u come to ma hm wtht notice b4?? then ungejua pakuanzia on y akukupa inf b4 like m cmng.
nawasilisha mpendwa!!!
halellluyaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwa baba mchungaji mwambioe anna anakusalimia.
 
Angalia hapo hakuna sehemu imeandikwa wivu! Hapo namaanisha Kutoa taarifa na kujiandaa na pia kakupigia simu upo na rafiki zako tena huenda pia ukawa na mkeo! Hapazungumzii wivu ila ni ustaarabu wa kutoa taarifa!:becky::becky::becky: :amen:
 
Samahani sana msharika wangu. Sikujua kuwa siku ile nilipokuja bila kutoa taarifa nilikuudhi. Siku hizi sikuoni kabisa kanisani au ulikwazika moja kwa moja??? sikuwa na nia mbaya
 
Hao Viongozi wa dini bado ni binadamu - hawajakamilika. Nashauri kama huyo mwanaume haridhiki na tabia hiyo amweleze wazo kutofurahishwa kwake na tabia hiyo.
 
Samahani sana msharika wangu. Sikujua kuwa siku ile nilipokuja bila kutoa taarifa nilikuudhi. Siku hizi sikuoni kabisa kanisani au ulikwazika moja kwa moja??? sikuwa na nia mbaya

Mie Mwislamu safi na nipo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu umekosea kiongozi
 
Mbona kama vile mada yako haihusiani na jukwaa la mahusiano, mapenzi???
Kwa kukujibu; kwanza nahisi kama umekuwa unfair, kwani ni viongozi wa dini tu ndio huenda kwa watu bila taarifa???
Hiyo tabia mbona ni ya kawaida sana kwetu... Au kuna jambo jingine ambalo hatulijui???
 
Unakuta mtu (mwanamume) na mke wake ni waumini wazuri tu wa dini tuzifaamuzo zilizopo hapa kwetu TZ. Mke anafanya kazi na mume vivyo hivyo ni mfanyakzi (waajiriwa). Unatoka kazini (mume) na kawaida yako hukutana na marafiki na kubadilishana mawazo na kupumzika kwa kupata kasoda na kisha kurejea nyumbani na kukaa na familia yako! Ghafla Mtumishi (Kiongozi wa dini) anakupigia simu anahitaji kuonana na wewe (mume) na pia yupo tayari nyumbani kwako na anakuambia nataka kukuona kukusalimu tu na fika anajua unatoka kazini na hakukupigia mapema kwamba muonane........ hii mimi kwangu naiona haiko sahihi maana kwanza hukutoa taarifa mapema, pili umeshafika na upo nyumbani kwa muumini ndipo unapiga simu..., mie naona kuna walakini hapa au Wandugu Mwaonaje hii??????

:crazy::crazy::noidea::noidea::noidea::noidea:

Nafanya yafuatayo;

1. Namuuliza hapo hapo kuwa ana muda gani hapo nyumbani.

2. Kisha nampigia mke wangu kama kashafika nyumbani, na ni kwa muda gani.

3. Then, nitamwomba anivumilie kwa masaa mawili na nusu, halafu naingia baada ya nusu saa.

4. Vinginevyo, nampangia siku nyingine ili ninote style yake ya kuja.
 
Kwanza tofautisha mapenzi na kungonoka, hapo pia pana mahusiano baina ya kiongozi wa dini na muumini (kwa hiyo niko sawa:becky:) Halafu kama tabia umezizoea kwenu basi usifikiri ni kila mahala watu watapenda tabia yako:welcome:
 
We kweli konakali
 
Mmh! asante baba!!!
Kwaheri!
 
Unakuta mtu (mwanamume) na mke wake ni waumini wazuri tu wa dini tuzifaamuzo zilizopo hapa kwetu TZ. Mke anafanya kazi na mume vivyo hivyo ni mfanyakzi (waajiriwa). Unatoka kazini (mume) na kawaida yako hukutana na marafiki na kubadilishana mawazo na kupumzika kwa kupata kasoda na kisha kurejea nyumbani na kukaa na familia yako! Ghafla Mtumishi (Kiongozi wa dini) anakupigia simu anahitaji kuonana na wewe (mume) na pia yupo tayari nyumbani kwako na anakuambia nataka kukuona kukusalimu tu na fika anajua unatoka kazini na hakukupigia mapema kwamba muonane........ hii mimi kwangu naiona haiko sahihi maana kwanza hukutoa taarifa mapema, pili umeshafika na upo nyumbani kwa muumini ndipo unapiga simu..., mie naona kuna walakini hapa au Wandugu Mwaonaje hii??????

:crazy::crazy::noidea::noidea::noidea::noidea:

Zamani.. mchungaji akija nyumbani... baba anatimua kwani maombi HAYAPANDI.. siku hiz mchungaji akija nyumbani kukutembelea..baba ANAPIGA KAMBI... ANALINDA MKEEEE!!!!!:becky:
 
Back
Top Bottom