Je hii ni nzuri

Chabo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,083
1,135
Habar wana jf
mm na mpenzi wangu tuna hamu ya kuishi pamoja,lakini mpango wa kufunga ndoa mpaka sasa haueleweki.je?2naweza kuishi pamoja halafu ndoa baadae kama nyinyi wengine?

msaada tafadhali.
 
mkiishi pamoja,uwezekano wa ndoa unakuwa mdogo.kila unachokitaka unapata,utahisi ndoa ni ya nini tena?
 
Habar wana jf
mm na mpenzi wangu tuna hamu ya kuishi pamoja,lakini mpango wa kufunga ndoa mpaka sasa haueleweki.je?2naweza kuishi pamoja halafu ndoa baadae kama nyinyi wengine?

msaada tafadhali.

Mkuu, wewe unasali au unaswali? unataka sisi tuhalalishe uzinifu wako? kama umeamua kuzini zini saaana hata mchungaji wako au shehe akuone. mnamuogopa nani? baba, mama, nani? Nendeni mkaishi na si mnapendana!
 
ninyi kina nani??...,ndoa ndoana na inahitaji maandaliz,nendeni mkafunge ndoa hta kwa mkuu wa mkoa ili mconekane hamtendi dhambi.
 
Habar wana jf
mm na mpenzi wangu tuna hamu ya kuishi pamoja,lakini mpango wa kufunga ndoa mpaka sasa haueleweki.je?2naweza kuishi pamoja halafu ndoa baadae kama nyinyi wengine?

msaada tafadhali.

Mtoto wa watu akikufia mkononi mwako wakatii ujamtolea mahari wala ndoa utajuta kuzaliwa. Kwa nini unasema mpango wa kufunga ndoa hueleweki? huna mahari ya kuto au unachohofia wewe ni gharama za harusi? Labda utuambie ili tukushauri hilo. Kuishi bila kufunga ndo ni kuzini.
 
Acha kutuzingua wewe! Kimtazamo wote mnapenda zinaa thats why mnakwama kuishi pamoja.mpemz hayataki siasa kijana jikaze unaweza kuzubaa kitu kikaopolewa na wenzio waliojipanga kuoa
 
habar wana jf
mm na mpenzi wangu tuna hamu ya kuishi pamoja,lakini mpango wa kufunga ndoa mpaka sasa haueleweki.je?2naweza kuishi pamoja halafu ndoa baadae kama nyinyi wengine?

Msaada tafadhali.
pepo la uzinzi linakuita kijana. Kwani kufunga ndoa hadi harusi? Nenda kwa mchungaji na mwenzako na wazazi wenu na mashahidi wanne jmosi moja saa nne mnakuwa tayari mume na mke
 
Nashukuru jamani.lakin mbona humu kwenye jf wapo wa2 wanaishi bila ndoa na wana wajukuu?@"nyie akina nani"
 
Habar wana jf
mm na mpenzi wangu tuna hamu ya kuishi pamoja,lakini mpango wa kufunga ndoa mpaka sasa haueleweki.je?2naweza kuishi pamoja halafu ndoa baadae kama nyinyi wengine?

msaada tafadhali.
Ndugu yangu unaelekea huna dini. Maana dini zote zina utaratibu wake wa kufunga ndoa na hakuna dini inayoruhusu kufanya uziinzil wanaofanya wanafanya for their interest. hawataiki dini hivyo wanajifanya ni watu wa serikali. Hiyo tayari ni kufru na rudi kwa Mola wako utubu madhambi yako.
 
Back
Top Bottom