Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,858
- 7,847
Teh teh teh..........!!! Kumbe na wewe umeliona hilo eeh??!!Na wanawake je? kodi haiwahusu? Tatizo la ajila za kupeana, huyo Marketing Manager ni kilaza kawadhalilisha wanawake.
yale yale ya mwalimu ...wala rushwa....atachapwa viboko sita wakati wa kuingia na sita wakati wa kutoka akamuonyeshe mkewe!!......wanaume ndo wala rushwa tu!!!!!!!!!!!!!Na wanawake je? kodi haiwahusu? Tatizo la ajila za kupeana, huyo Marketing Manager ni kilaza kawadhalilisha wanawake.
Bado sijaelewa uhusiano wa kuoa na kulipa kodi!Msaada tafadhali wadau!