Je Hawa ni wabarikiwa wa Jamii Forums?

Program Alert:Interview na Powerbreakfast yaahirishwa.
Mzee Mwanakijiji
user_online.gif
Yesterday, 10:38 PM
Kwa mujibu wa Bw. Gerald, sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wake zililazimu kuahirisha mahojiano yake nami kuhusu suala hili la mafuriko na sasa tunatarajiwa kufanya siku ya Alhamisi. Poleni na samahani kwausumbufu wale wote ambao mlikuwa mnasubiria kwa hamu.

Napenda kuwataarifu kuwa nitakuwa hewani na kuzungumza na kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na Clouds FM. Kwa sasa itakuwa baada ya saa mbili za asubuhi hivi na ninatumaini tutazungumza mengi yanayohusu mustakabali wa taifa letu hasa wakati huu ambapo tunashuhudia majanga ya mafuriko n.k

Usikose, change is not what we pray or wait for, it is what we bring!
__________________
KUNA WAKATI WA KUCHUKUA MSIMAMO; NA KUNA WAKATI WA KUONESHA UONGOZI NA KULIPA GHARAMA YA YOTE MAWILI. KAMPENI YA KUCHANGIA WAHANGA WA MAFURIKO NI WAKATI KAMA HUO. M.M.
Last edited by Mzee Mwanakijiji; Today at 09:49 AM..


Mzee Mwanakijiji
robot_16.png

JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Fri Mar 2006
Location: Kijijini
Posts: 17,109
Thanks: 3,318
Thanked 1,721 Times in 476 Posts


report.gif
Report Post
subscribe.gif
Subscription
printer.gif
Show Printable Version
sendtofriend.gif
Email this Page
reputation.gif
Add to Mzee Mwanakijiji's Reputation


Views: 1030


The Following 9 Users Say Thank You to Mzee Mwanakijiji For This Useful Post: bht (Today), Dark City (Today), KIWAVI (Yesterday), MtazamoWangu (Today), MwanajamiiOne (Today), Pasco (Yesterday), Sanctus Mtsimbe (Yesterday), Waberoya (Today), Wacha1 (Yesterday)
 
hahahahah ehehehe Gosh sijui kwa nini labda wewe unisaidie kama umeona hilo
FL1 Natokea Mbeya vijijini kabisa hata kijijini kwetu wanakijiji wananipa thanks labda nyota yangu inang'aa kama mchanga wa baharini ..

ila usiseme kama unakasirika kwa hilo;)ni vijimambo tu
2010 niko kikazi zaidi ;)
karibu JF
Kweli nyota yako inang'ara na kwa kuthibitisha hilo wasiliana nami ktk PM yangu upate ujumbe muruwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nimejiunga na jamii forums tangu mwezi wa tisa,
lakini kuna kitu nimejifunza hapa jamvini.
Kuna watu thread zao hata kama sio za moto zitaopewa thanks kibao, hadi utashangaa.
Nyani Ngabo, Mwanakijiji, First Lady .......
watu wa aina hiyo.
Je wao ni malaika wa hapa Jamii Forums?

Mkuu star are not doing different things but they do things differently,
Ndo maana wote tunapost lkn thanks inakuja pale umepost kitu gani.
 
......Kama umevutiwa na maoni ya mtu unaweza weka thanks, kama mtu mpo mwelekeo mmoja vile vile unaweza kumpa thanks hata kama maoni yake yapo yapo tu.

.......Hivyo usiumie sana kuhusu thanks , kwanza thanks haikuongezi kitu chochote inaishia hapahapa JF.
 
progress.gif
Nimejiunga na jamii forums tangu mwezi wa tisa,
lakini kuna kitu nimejifunza hapa jamvini.
Kuna watu thread zao hata kama sio za moto zitaopewa thanks kibao, hadi utashangaa.
Nyani Ngabo, Mwanakijiji, First Lady .......
watu wa aina hiyo.
Je wao ni malaika wa hapa Jamii Forums?

kwanini wao ni malaika ? njoo utoe ufafanuzi maridhawa. ama umewaona wakiandikia mbawa zao, ama wanaandika mawazo yao kwa miguu, JF inastatus mbalimbali, kusema ukweli kunaasome members wanachangia zaidi kuliko wengine, kunawanao post threads mpya kuliko wngine, ukiona wanaheshimika nafikiri kwa kazi zao na michango yao.
mimi mara chache hua nakubaliana na michango ya Tumain, lakini na muheshimu sana maana anachangia kwa nguvu , kijasiri bila woga, na kila mara, hainifanyi nimuone malaika, wapo kina FMES, Mwanakijijiji, first lady na wengineo, niliwakuta humu wakiwa magwiji na wemeendelea kuwa hivyo hata kama hukubaliani na mawazo yao, huu ni uwanja wa watu makini, wanaoshindana kwa hoja nzito, na mawazo yenye kukata kila nncha, hii ni katika kutafuta mstakabari mwema wa taifa letu Tanzania.

Njoo utuonyeshe namna gani kuna malaika humu.
 
duh.. imekuwa nongwa sasa.. yawezekana pia tunashukuru kwa kila kitu vile vile. Kushukuru ni uungwana tu. Ukijisikia hutaki kumshukuru mtu basi hubonyezi; ukiona amekuudhi kuna option ya "remove your thanks".. don't read too much kwenye haya mambo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom