members pls i need ur political inteligence......... Can he get nominated in the special seats?
kwas sheria hawezi kugombea bali anaweza kuwa nominatedKwa sheria za uchaguzi hawezi tena kuwa Mbunge kama akishindwa kuwa Rais.
Ataendelea kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA.
"..... wao wana pesa, sisi tuna Mungu ..." (Godbless Lema, MP)
:smile-big: viti maalum??? ah sijui sana apo ngoja waje watu wa chadema watakujuza apo. Kimsingi akirudi kwenye ubunge Heshima yake itakuwa imeshuka sana apo! (atakuwa kama Lyatonga) Kwani ina maana alikuwa hajui anataka nini yeye mwenyewe??? alishinikizwa??? amishakubali kushindwa urais??? Je nguvu ya umma imemkimbia??? anahitaji kuhurumiwa??? je hana mipango mbadala akikosa urais??? kwani ni lazima aendelee kuwa Mbunge??? ni RAHISI SANA, AMWAMBIE MCHUNGAJI AJIUZULU NA KURUDI KANISANI AGOMBEE UPYA KARATU.members pls i need ur political inteligence......... can he get nominated in the special seats?
members pls i need ur political inteligence......... can he get nominated in the special seats?
Yes anaweza kuteuliwa mbunge, mwenye uwezo huo ni Rais JK pekee.members pls i need ur political inteligence......... can he get nominated in the special seats?
members pls i need ur political inteligence......... can he get nominated in the special seats?
nadhani tujadili hili baada ya kura za rais kutangazwa zote, kimsingi aliyofanya slaa yamekua historia nayatabaki hivyo nawanaharakati wajao wataendelea kumkumbuka daima kama mtu alieleta mabadiliko ya kweli yakifikra ktk watu wakawaida wakatambua uwezo na nguvu walizonazo ktk masuala yaungoz.Nionanyo mimi Slaa ni rais kwangu hata kama hataingia mjengoni.