Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,152
- 20,327
Ni wakati sasa tuanze kufikiria namna ya kucheza na siasa zetu.
Je Chama cha siasa kama chadema na wafuasi wake wasiozidi Milioni 30 Tanzania wanaweza kupambana na Ukoloni Mambo leo wakashinda?
Nitafafanua kwa kutoa mifano iliyojengeka kwenye dhana zifuatazo.
1. Chama dola chama cha mapinduzi kinafadhiliwa na nani? Nani anakipa nguvu hizo zilizopo? Tunaamini Ccm bila mkoloni mambo leo si chochote si lolote kwa nguvu ya umma.
2. Kama kweli hayo yanayosemwa ni sahihi je ni kweli wananchi wanaweza kushinda hiyo vita ya ngorongoro?
3. Wale wanaopingana na mkataba wa uwekezaji bandari je wana uhakika na kujua nani yuko nyuma ya uwekezaji na mkata huo? Je sio hao hao wakoloni mamboleo?
3. EU, WB, DU, IMF, na vyombo vingine vinavyojitapa kuwa mbele kwenye maendeleo ya demokrasia na haki za binadamu je wako na mikakati halisi au wanazuga tu ili mambo yao yaende sawa?
Inakuwaje uchaguzi unafanyika wanaibuka kama uyoga kupinga na kukosoa kuwa haukuwa huru na haki harafu baada ya mwezi unasikia EU yatoa msaada wa bIlioni 800 kusaidia serikali( chama) hicho hicho?
Mimi naona hapa duniani sisi waafrika tulikuja kusindikiza mabara mengine kwenye maendeleo na ustawi wa watu.
Hitimisho:
Si Rais, si jeshi, si polisi wala chama chochote cha siasa kinaweza kumaliza matatizo ya Tanzania yanayosababishwa na Ukoloni mambo leo.
Lawama zingine kwa viongozi wa chama tawala sometime tunawaonea na wao hawana cha kufanya na hawawezi kusema hadharani. Ni aibu tu.