kwa kweli ni mtu wa kutoka asubuhi na kurudi jioniMhh! kwani hakuwa naye karibu kwa muda gani? Inabidi ampeleke hosp aisee akachekiwe.
mhu! itakuwaje mtoto aliye kwa mauimivu yeye akimbilie kuangalia huko? alijuaje kuwa maumivu uyanatokea huko? huo uwazi aliuonaje, alianza kumpekuwa mtoto mashavu yake? je, alitumia gloves? anamakucha kiasi gani? labda makucha yake ndo yamemumiza mwanae!!! kuona ukeni lazima upande katika gynecological bed. je, anahicho kitanda? na mtoto anamiguu kiasi gani kuweka ple juu il mzazi amchungulie!! we mzazi usimwaribu mwano.
asante, ni vema kufundishana!umeongea mambo ya msingi sana