Je baada ya sensa Watanzania tuko wangapi?

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
49,028
54,321
Baada ya sensa kufanyika ikikabiriwa na dosari za hapa na pale kama wengine kusema hawahesabiwi na watu wengine kuhesabiwa vizuri. Sensa ya mwaka huu pia mifugo nayo kama mbuzi,kuku,bata n.k imepata nafasi ya kuhesabiwa. Naona kimya kimetanda ndiyo bado wanajumlisha au hata jumla yetu tuko wangapi pamoja na mifungo ni SIRI? Tafadhali mwenye kujua kwasasa kinachoendelea na idadi yetu km imeongezeka atujuze hapa.
 
Hiyo ela bora wangewapa hata wanaf.wa chuo kama ongezeko la bumu kwenye field,o madawati na chakula cha mchana kwenye shule za kata.Hakuna walilofanya,Wiizi mtupu,wapo kwenye compilition bt data zitakua ni uongo mtupu nilivyokuwa naona wanafanya.Bora wangewapata hata Makasisi,wachungaji,mashehe.Tungepata data sahihi at least
 
Back
Top Bottom