Je, awamu ya sita ipo kwaajili tu ya kurekebisha makosa ya Awamu ya Tano?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,910
41,464
Uelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano.

Inavyoonekana kulikuwa na "makosa" mengi sana yaliyokwisha fanyika awamu ya tano ambapo jukumu la kwanza kwa awamu ya sita ni kurekebisha makosa ya awamu iliyopita.

Ukitazama safu ya uongozi katika awamu ya sita na tano haitofautiani sana.

Je, awamu ya sita inajificha nyuma ya kivuli Cha awamu ya Tano?

Je, ni rahisi Kwa awamu ya sita kubakia na clean file?

Je, ni lini hasa tutaona awamu ya sita ikifanya mambo yake bila kuyagusa yale ya awamu iliyopita? Inawezekana?

Je, ni lazima kwamba Kila jambo la awamu ya Tano libadiliashwe?

Je, Kila jambo lililofanyika awamu ya Tano lilikuwa baya?

Naamini awamu ya Saba ikifika yatashuhudiwa mengi ya awamu ya sita kama tulivyoona awamu ya tano Kwa ya sita.

Upanga ule ule unaotumika awamu ya SITA kuichinja awamu ya tano, unawezekana kutumika awamu ya Saba kuichinja awamu ya SITA.
 
Cha kushangaza wewe ni CCM lakini hujui chochote kuhusu Ilani ya uchaguzi na mpango wa maendeleo wa taifa wa miaka 5.

Ila binafsi sishangai, naona unajaribu kujificha ficha lakini ukweli ni kwamba humkubali Rais Samia tangu ameingia madarakani.

Samia mpaka sasa bado ni Rais bora mara 200 kuliko kibwengo Magu, ambaye kila mwenye akili timamu anashangaa alifikaje pale juu.

Luckily, Mungu kasaidia kama ambavyo alifika pale juu kwa ajali, ameondoka vile vile kwa ajali.

Sasa hivi huna tofauti na Mmawia kifikra.
 
IMG-20210625-WA0081.jpg
 
Cha kushangaza wewe ni CCM lakini hujui chochote kuhusu Ilani ya uchaguzi na mpango wa maendeleo wa taifa wa miaka 5.

Ila binafsi sishangai, naona unajaribu kujificha ficha lakini ukweli ni kwamba humkubali Rais Samia tangu ameingia madarakani.
Yani katika watu hawana akili ni pamoja na wewe mkuu samahani kwa kutumia lugha nzito kidogo, naomba nisamehe mkuu ila kama umefanya tafiti hakuna raisi wa ajabu kuwahi kutokea kama huyu mama na kama CCM wakijiloga wampitishe 2025 nakwambia wapinzani wakija na agenda ya magufulification hata wakiweka jiwe la pembeni likilokataliwa na waashi Watanzania watalipigia kura angalia anavyotapatapa kwenye covid19 legacy aliyoacha hayati baba wa taifawa pili(magufuli JPM) ni kubwa mnoo angalia anavyosimangwa kwa kudanganya tanzania ina corona leo watu hawamuelewi anatakiwa alipe mishahara ya mwezi huuasituletee mambo ya ajabu kiufupi akina zitto wanamuangalia tuu wakianza kutupa mabomu msianze kusema kwakua ni mwanamke.
 
Yan katika watu hawana akili ni pamoja na wewe mkuu samahani kwa kutumia Lugha nzito kidogo, naomba nisamehe mkuu ila kama umefanya tafiti hakuna raisi wa ajabu kuwahi kutokea kama huyu mama na kama ccm wakijiloga wampitishe 2025 nakwambia wapinzani wakija na agenda ya magufulifucation hata wakiweka jiwe la pembeni likilokataliwa na waashi watanzania watalipigia kura angalia anavyotapatapa kwenye COVID19 LEGACY ALIYOACHA HAYATI BABA WA TAIFAWA PILI(MAGUFULI JPM) NI KUBWA MNOO ANGALIA ANAVYOSIMANGWA KWA KUDANGANYA TANZANIA INA CORONA LEO WATU HAWAMUELEWI ANATAKIWA ALIPE MISHAHARA YA MWEZI HUUASITULETEE MAMBO YA AJABU KIUFUPI AKINA ZITTO WANAMUANGALIA TUU WAKIANZA KUTUPA MABOMU MSIANZE KUSEMA KWAKUA NI MWANAMKE
Umekwiva kikamilifu alichokitaka Magu. Propaganda mfululizo miaka sita zilikuwa ni balaa.

Zisingeweza kuwaacha salama watu wajinga wajinga kama nyie.
 
Umekwiza kikamilifu alichokitaka Magu. Propaganda mfululizo miaka sita zilikuwa ni balaa.
Aliongoza nchi katika uhalisia kwa vitendo na maneno hakuwa muumini wa polifix hio ndo shida muulize mwanao raisi wa Tanzania ni nani atamtaja mwamba wa africa alijaa kwenye mioyo ya watu amekufa kwa heshima hayupo lakini anaishi pamoja nasi
 
Mbona Awamu ya 5 ilirekebisha na kubomoa ya Awamu ya Kwanza mpaka ya 4!! Kwanini hamkumuhoji Shujaa?
Point of correction; hakuwahi bomoa alienzi yale yoote mazuri ya awamu zote alichoongeza ni kufanya na kutenda kwa kasi kuliko awamu zilizopita alikua akimtuma JK china kunegotiate kuhusu mkopo wa SGR na mengine mengi alimfanya JK kama waziri wa mambo ya nje alichokuja kufanya cha tofauti ni kupambana na majambazi wa mali za umma
 
Aliongoza nchi katika uhalisia kwa vitendo na maneno hakuwa muumini wa polifix hio ndo shida muulize mwanao raisi wa Tanzania ni nani atamtaja mwamba wa africa alijaa kwenye mioyo ya watu amekufa kwa heshima hayupo lakini anaishi pamoja nasi
Mwanao basi atakuwa ni zezeta au atakuwa na mtindio wa ubongo wa kuwa updated kama wewe mama yake. mi mwanangu wa miaka 2.5 anamjua mama na sio lile dubuwasha lenu
 
Kwani huyo kiongozi wa awamu ya "sita" ametoka kwenye awamu ipi?

Na kabla ya awamu ya sita yeye alikuwa nani katika awamu iliyopita????

Watanzania mnajua sana "kuchezewa" akili. Mnachezewa akili kisha mnashangilia,........ "kazi iendeleeeeee!"
 
Uelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano.

Inavyoonekana kulikuwa na "makosa" mengi sana yaliyokwisha fanyika awamu ya tano ambapo jukumu la kwanza kwa awamu ya sita ni kurekebisha makosa ya awamu iliyopita.

Ukitazama safu ya uongozi katika awamu ya sita na tano haitofautiani sana.

Je, awamu ya sita inajificha nyuma ya kivuli Cha awamu ya Tano?

Je, ni rahisi Kwa awamu ya sita kubakia na clean file?

Je, ni lini hasa tutaona awamu ya sita ikifanya mambo yake bila kuyagusa yale ya awamu iliyopita? Inawezekana?

Je, ni lazima kwamba Kila jambo la awamu ya Tano libadiliashwe?

Je, Kila jambo lililofanyika awamu ya Tano lilikuwa baya?

Naamini awamu ya Saba ikifika yatashuhudiwa mengi ya awamu ya sita kama tulivyoona awamu ya tano Kwa ya sita.

Upanga ule ule unaotumika awamu ya SITA kuichinja awamu ya tano, unawezekana kutumika awamu ya Saba kuichinja awamu ya SITA.
Hata awamu ya tano ilikuwa ina deal na weakness za awamu ya nne kujikosha kwa wananchi...
 
Mtateseka sana MATAGA safari hii.
Kwa taarifa yako ni kuwa awamu ya 6 ina kazi kubwa sana ya kufagia mambo ya hovyo mliyowafanyia watanzania.
 
Back
Top Bottom