Je, Anaitwaje?

Hajawahi tokea Raisi mwanamke marekani lakini wanapo kua kwenye acting zao wanakuwepo na waume zao lakini huwa silence kuhusu jina la mume wa rais labda tuangalie reference kwenye hizi movies
 
Hii kitu gender issue iliwashinda wenzetu majuu wakatuletea huku. Sisi kwa uzuzu na kupenda sifa tunaidaka tu, ooohh 50/50. Kitabu gani kilitamka hivyo? Hats utamaduni Wa jamii kubwa ya waafrika hatupo hivyo. Ndoa kwao hazidumu na Kwetu zinavunjika kila kukicha. Mjengee mwanamke uwezo hapo kwako kama hataanza kukudharau. Ndo maana wanawake hawapewi uwezo mkubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom