Maana kuna first lady kama rais ni mwamaume akiwa Rais ni mwanamke mumewe ataitwaje
Naomba kuwasilisha
The husband of the nation au national husband
Maana kuna first lady kama rais ni mwamaume akiwa Rais ni mwanamke mumewe ataitwaje
Naomba kuwasilisha
Hata mimi nilisikia hili neno kwenye muvi hiyoHiyo First Gentleman imekaa vyema na kwa mara ya kwanza niliisikia kwenye Moviei series ya 24 Hrs ilipotokea Marekani imepata Rais mwanamke(Madam President Taylor).Season 8.