Je, Air Tanzania walishaita watu wa ajili ya usaili?

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,988
2,771
Naomba mwenye kufahamu kama Air Tanzani walishaita Interview ya Cargo Officer na Sales. Walitangaza October 2019. Nikaona Nina sifa walizotaka Hadi leo sijapata Jibu.
 
🙉🙉😭😭Siyo Msukuma wala Kada. Tabu tunayopata wakosa Ajira God knows. Umri unaenda ngoja nikavamie Njia za watembea Kwa Miguu Ubungo niweke kibada cha kukaanga Mihogo.
👏👏👏👏👏👏 Umeona mbali mkuu
 
Back
Top Bottom